๐ฒ๐Dear boys, ivi nyie boys mnaohonga/kugharamia mpenzi hua mna akili gan❓๐, eti unanunua gauni, viatu, simu losheni, saloon kila wiki ivi ungemfanyia hivo mama ako mzazi si ungeshatajirika ww❓๐, acha utahira akiwa na shida ya maana tu ndo msaidie tena isiwe shida ambayo inamuuzi Mungu, msaidie mfano ametumwa na mzazi wake bahati mbaya akapoteza hela but hakikisha kapoteza kweli maana ni maongo haya ohoo๐ kama anaumwa peleka matunda ata ya laki moja uwezo wako tu, mpe na vizawadi vidogo vidogo tu, Kama anakupenda anakupenda tu, maswala ya kuingilia majukumu ya wazazi wake huo ni utahira.
๐ป๐ป๐ปTena mmewazoeza vibaya kweli yani juzi nlikua napitia post za marafiki zangu nkakutana na kimdada hivi kimeandika et ooh mwe mnaangalia na type zenu sisi wengine wanguo mbili moja hatuwezi, usilazimishe kua na mpenzi ambae huna uwezo wa kumgharamia nkatizama kwanza kisichana chenyewe kilivo duh adi uruma, sa unataka mpenzi mwenye hela we unazo❓baba ako anazo๐, lizika na hali ya nyumbani kwenu au subiri uolewe hizo tamaa zitakutokea puani, dah wanaume ndo mmewafikisha huku kisa kuwahonga duh๐,
๐ฌ๐ญ๐Asilimia kubwa ya wanaume wanaojiua baada ya kuachwa hua wanaumizwa na zile gharama alizowekeza kwa mschana wake, Boys acheni utahira mpenzi hagharamiwi si ana wazazi bhna labda kama una mchumba yatima nakuruhusu umgharamie, tunagharamia mke bhana.
๐ฌ๐จ๐ด๐ฆBoys hivi ukiwa na wapenzi wengi unapata faida gani, kama ulikua nae mmja hakua mwaminifu kubali tu huyo hakupendi fanya kumwacha, waschana waaminifu bado wapo wengi mnoo tena wazuri atari, kipi bora uwe na waschana wengii mwisho wa siku ufe na HIV uende ziwa la moto au uwe na karembo kamoja tu, afu utembee na Yesu mda ote mwisho wa siku uingie mbinguni, kipi bora❓ but usije ukasahau kwamba MKE/MUME BORA ANATOKA KWA BWANA
Post a Comment