AMRI KUMI ZA UCHUMBA;

Happy black couple watching tv, rela | High-Quality Stock Photos ...
1; Usilitaje bure jina la mchumba wako.
2; Usimfananishe mchumba wako na mtu wa kupita.
3; Ziheshimu siku zote za upendo wenu.
4; Mheshimu mchumba wako popote uendako.
5; Uwe mwaminifu.
6; Uwe mvumilivu katika hali yeyote.
7; Usimsaliti.
8; Lifanye pendo lenu liwe jipya kila siku.
9; Usitoe siri ya
upendo Wenu.
10; Usitamani mchumba wa mtu mwingine.
SIKU NJEMA


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post