UTAMJUAJE MWANAMKE ALIYEFIKA KILELENI KWELI? - EDUSPORTSTZ

Latest

UTAMJUAJE MWANAMKE ALIYEFIKA KILELENI KWELI?


Image result for UTAMJUAJE MWANAMKE ALIYEFIKA KILELENI KWELI?

Unahisi unaweza kutofautisha kama umemfikisha kweli mpenzi wako kileleni au anapiga kelele za kimahaba za kukuzingua?, mwanamke ambaye zamani alikua anamzingua mpenzi wake kwa kelele za kimahaba anatuelezea kwanini ni vigumu kuliko unavyofikili kutambua na utatambuaje!. 
Mshangaze Msichana Wako Apendezwe Nawe zaidi. Iwe ndio Unamtongoza au upo naye kwenye Mahusiano kupitia Rafiki Zake.
Vitu 7 vinavyowaboa wanawake ukivifanya mkiwa kitandani.
Kwa Lugha Yake Ya Mwili Anaongea Mengi Kuliko Anavyomaanisha, Jifunze Kuielewa.

Unahisi unaweza kutofautisha kama umemfikisha kweli mpenzi wako kileleni au anapiga kelele za kimahaba za kukuzingua?, mwanamke ambaye zamani alikua anamzingua mpenzi wake kwa kelele za kimahaba anatuelezea kwanini ni vigumu kuliko unavyofikili kutambua na utatambuaje!.

"Mimi sio mwigizaji, zaidi ya hapo nilikuwa mtu wa mwisho kwenye maigizo kipindi cha shule ya msingi, ila nina uwezo mkubwa wa kusema "Oooh, hapo hapo.. unanifikishaaa!", mpaka mwanaume akahisi kweli amenifikisha, hata hivyo siko peke yangu wanawake wengi tu wanaigiza wakati wapo wanafanya mapenzi".

Utafiti wa kitaifa wa ngono uliofanywa na chuo cha indiana, ulionyesha asilimia 85% ya wanaume wakisema mara ya mwisho kufanya ngono waliwafikisha kileleni wenza wao, hata hivyo asilimia 64% tu ya wanawake walisema walifika kileleni mara ya mwisho walipofanya ngono, hii inamaanisha ni hesabu ya ajabu hata mtoto wa darasa la pili anajua imekosewa, na inamaanisha asilimia 21% ya wanaume walidanganywa na milio ya kimahaba ya wenza wao na wakaamini kuwa waliwafikisha.
Iwapo tukichukulia na wewe utaki kuwa mmoja wa hao waliodanganywa na mbaya zaidi hawakua na ufahamu wowote kuwa wamedanganywa, Kiumeni.com wamekuandalia dalili zinazoonyesha na zitakazokuwa zinakuonyesha iwapo unadanganywa.
 
        1: Unamwelewa
 
Tuweke hivi, "Ooooh, hapo hapo usiitoe... ooh, naisikia mpaka kichwani!", mwanamke huwa anasema hivi akiwa anakandwa miguu yake na maji ya moto baada ya safari ya miguu ya mwendo mrefu, "OH... USI...., JAMA... UNA.... NDIO...., HAPO HA...", hivi ndomwanamke anavyosema ukiwa unashughurika vizuri kitandani, akiweza kuunganisha sentensi nzima na ikaeleweka ujue anakuzuga, maana akifikia mshindo akili yote inakua kama haifanyi kazi vizuri na ikitokea akiwa analia kama kwenye video za ngono wanavyolia, ujue anakusubiri umalize mambo yako aanze kukuelezea shida zake alizonazo, wale wa kwenye video za ngono huwa wana igiza, mwanamke wa kihalisia wa kawaida huwa hawafiki kileleni iwapo mwanaume anatumia nguvu ovyo ovyo bila ya mpangilio na msuguano wowote unaohusisha kinembe.
 

         2: Anakubusu bila kuacha
 
Kwa mwanamke ili afike kileleni, inabidi awe na umakini mkubwa na kuweka hisia zake zote kwenye msuguano na msisimko anaoupata mwilini mwake ili afike mshindo, kubusu na kutekenya hawezi kuvifanya kwa wakati huo ambao anaweka mawazo yote mahala hapo, ukiona unataka kumpiga denda akageukia pembeni ujue mambo ndo yamemkolea vizuri na sio vinginevyo. 

       3: Uso wake unakuwa mzuri
 
Ulishawahi kujiangalia kwenye kioo wakati uu-me waako unagombana na mikono yako, najua ulishawahi kujisugua, nani ambae hajawai..., hakuna!, na unaelekea yale mambo kumwagika, unajua usowako unakuwaje?, uso wako unakuwa kama vile unataka kutolewa maisha au kama unataka kulia vile, binadamu wote wako sawa upande wa kihisia, hata wanawake pia!, akiwa na sura nzuri wakati ndo anafika mshindo ujue hapo hakuna!, anatakiwa kuwa na sura ambayo haina mvuto kama anataka kulia na sio awe bado anapendeza kama ndo anaingia harusini.
 

     4: Unafanya mapenzi na mpenzi wako kwa stairi ya kimbwa mbwa
 
Mwanamke kufika kileleni kwa stairi ya kujamiiana kutoka kwa nyuma ni sawa na wewe kufika mshindo huku mwanamke akiwa anakuchezea kwa mikono.
Sijasema haiwezekani, ila inahitaji ufundi mkubwa na dereva inabidi awe anaijua kwa umakini mkubwa njia yake anayopita, ili manbo hayo yaweze kutokea, kwa hio nitakua na wasiwasi kama mwanamke akisema kafika kileleni kwa kutumia hio stairi, mwanamke anauwezo mkubwa wa kufika kileleni iwapo anafanya mapenzi ila yeye ndo yuko juu ya mwanaume kashika msukani, au kwa stairi ya missionary inayoitwa Coi-tal Alignment Technique kwa kifupi The Cat, najua huijui... i gugo(google) na utaiona.

  
    5: Ngozi yake inakuwa nyororo na kavu
 
Mwanamke akiwa amefika kileleni eneo la kuma yake linakuwa limeloana, moyo humuenda mbio, presha ya damu vyote vinakuja juu ambavyo inamaanisha lazima jasho limtoke kwa aina yeyote ile na mwili unakua na majimaji kwenye ngozi, hii ni moja ya dalili amekwea mlima na kufika kileleni kwa furaha na kama ni mmwagaji, kuma inatokwa na maji basi shuka zote huwa zimeloana. 




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz