Ni rahisi sana Mwanamke kuvunja MAHUSIANO ikiwa atakosa Mapenzi ya dhati, Ni ngumu sana kumuondoa Mwanamke kwenye himaya ya Mwanaume ikiwa ATAKIPATA KILA ANACHOHITAJI! Mwanamke ni kiumbe kinachoishi kwa kufuata FURAHA NA AMANI kuliko kiumbe chochote,
Mwanamke hata awe mbaya kiasi gani mpatie FURAHA NA AMANI uzione hips zake utashangaa na zilikochomokea💓 Nampenda mwanamke kwa jambo moja tu "MWANAMKE NI MBINAFSI" Ukitaka kumfurahisha mwanamke mfiche asijue kama kuna mwanamke zaidi yake, Lakini ukitaka mkeo awe mdhoofu kama "BETINA WA GAZETI LA SANI" hebu mpe stress halooooo
ooo hata nanihii inasusuka huwezi kuona mnofu ila utaligusa fuvu lake😅 Usicheke hapaaa kwani mimi naongelea mambo ya wakubwa MPONYESHE MWANAMKE WAKO KWA KUMPA FURAHA NA AMANI SIKU ZOTE utauona ubora wake na kamwe huwezi kumtamani mwanamke mwingine ikiwa unajua kutuliza macho yako,
Ujinga wa Mwanaume ni mmoja tu KUMSALITI MKEWE NA WAKATI MKEWE NI MWAMINIFU! Mengine nambebea kama bin adam, Yaani unalala na house girl na mkeo yupo? Hapo ndipo utajua Mwanaume HATABIRIKI AISEEEEEðŸ˜ðŸ˜
Post a Comment