Usimwekee tumaini mtu yeyote katika mapenzi hata akasema anakupenda kama dhahabu mpaka pale atakapofanya hivi.

Usimwekee tumaini mtu yeyote katika mapenzi hata akasema anakupenda kama dhahabu mpaka pale hatakapo kuwa mume wako maana moyo utachoka kila mwanaume ukianza nae mahusiano unampa tumaini na moyo wote akikisha ukianza mahusiano na mtu wewe anza afu mapenzi yachukulie poa sababu dunia imearibika sana wakweli wachache sana maana ukichukulia poa moyo wako utakuwa na amani sana tofauti na yule ambaye moyo wake na macho yake anamkabizi yote mtu..
Lakini yote kwa yote sio afya sana kuingia kwenye mahusiano na mtu ambaye unaona hana mbele ya mtazamo wa maisha kuishi na wewe maana saizi umri unaenda yafaa kupata mtu sahihi ma sio kanyaga twende hata kama moyo wako umependa kupitiliza piga chini acha nae
Mimi mwalimu wako Mwalimu Bemasha nakusisitiza ukawe na akili sana tena sana mapenzi ni kama mfanya biashara anatumia akili nyingi ili apate faida au akili nyingi endesha biashara zake na mapenzi katumie akili nyingi sana kuishi na huyo aliko zaliwa ukujui umeona eeh mtu aliko zaliwa ukujui uishi nae kwa akili ndogo utaumia maana mdogo wako tu mmezaliwa tumbo moja ila msumbufu sembuse huyo
Sasa usikubali kutumika eti mtu akutumie kama chombo cha starehe eti akiwa na nyege zake njoo kuna maisha baada ya viuno vya kitandani sasa ukipata wanaume wasanii 10 hahahah🤣🤣🤣sasa si utakuwa umetumika sana kwamba njoo akiwa na nyege zake kwenda zake mwili wako binti yangu sio wa kutumiwa kisa mtu ananyege mwili wako kwa ajili ya mtu ambaye anataka kukuoa na afya zaidi akifunga ndoa ndio auone
Wanaume siku zote wanaogopa sana mwanamke mwenye msimamo maana mwanamke mwenye msimamo achezewi ovyo
Nenda ukawe malkia wa nguvu kwenye jamii yako mwalimi bemasha nakuombea kila yeyote ambaye anatumwa na shetani kuja aribu maisha yako ashindwe ukawe mtu wa ibada ukimtafakari sana Mungu sana ukaache uovu ukawe mtu wa maombi na njia zako zitafunguka
Nakupenda mimi nakupenda sana


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post