TUSEMEZANE MWANAUME⤵
NI MWANAMKE YUPI HUYO HASA NDIYE WA MOYO WAKO? Swali hili ni GUMU sio kujibu tu bali hata KUPAMBANUA🙉
Ni fumbo kubwa kwa kila Mwanaume asojuwa THAMANI YA MWANAMKE kwa sababu hata MAPISHI YA KUKU🐓 ni tofauti na MAPISHI YA SAMAKI🐟 na kwa maana hiyo hiyo HALIMA kwa jinsia ni Mwanamke Sawa na NEEMA lakini kila mmoja na majaaliwa yake ambayo MUNGU amemjaalia, Kwa tafsiri ya haraka Halima hawezi kuwa kama alivyo NEEMA
Mwanaume ajuaye THAMANI YA MWANAMKE hamchukui Mwanamke kwa MTAZAMO bali kwa jinsia ili kutimiza TORATI📖
lakini Mwanaume ambaye humchukuwa Mwanamke kwa MTAZAMO huyo ndo Miongoni Mwa wale Wanaume ambao hata HOUSE GIRL akinona anammezea Mate, Mapenzi nature yake ni MAHITAJI YATOKANAYO NA NAFSI kinyume chake ni TAMAA YA MWILI.
Ni wanaume wachache Mno ambao tangu anamjua Mwanamke anamchukuwa kwa JINSIA 👩
Walio wengi humchukuwa Mwanamke kwa MTAZAMO na hilo ndilo limewagharimu wanawake wengi, Kwa sababu ni ngumu sana kwa Mwanamke kujua ni LIPI HASA HITAJI LA MWANAUME JUU YAKE
Kwani MANENO ya awali wanakutana kati ya Mwanaume na Mwanamke ni yale yale na kinachoponza wengi ni KUDHANI ANAKOTOKA HAPANA MAANA kumbe tofauti ni radha ya MANENO TU
Ifike Mahala Wanaume mjue kwamba;
"UTAMU wowote ule unatokana na vile unavyoweza kuyakusanya MATE yako"
Kama huamini jiulize swali hili;
"Kwanini wakurya wanakula KICHURI?"
Sasa wewe endelea kutafuta RADHA kwa wanawake wakati huo KILA SIKU IDADI YA WATOTO WAKIKE INAONGEZEKA ukija kushituka UMRI UMEKUTUPA unarudi kule kule ulikoanzia kwamba ULIYEMUACHA UJANANI ndiye atakupa nafasi mmalizie DUNIA🌍
Anza ujana wako na Mwanamke kwa JINSIA yake ili utengeneze RADHA pamoja na kujenga UBORA WA MWANAMKE WAKO kuliko kutanga na njia mwisho wa siku ukose wa kudumu nae, kila Mwanamke ni MTAMU kulingana na value unayompa, Kama hujui hilo KWANINI HUJAJUA NI YUPI MTAMU KULIKO WOTE ULIOWAHI KULALA NAO? Mwanamke ni JINSIA hayo mavitu vitu sijui shape, sijui Lips mara mguu wa bia ni MAPAMBO TU😅😅😅
Hata MECHI hutegemea wachezaji wala sio ubora wa kiwanja.
#Elista_Kasema_ila_Sio_She ria 🔨

#Elista_Kasema_ila_Sio_She
Post a Comment