Futa machozi yako, Usilie tena maana kwa kufanya hivyo utaipa utulivu akili yako, Unapolia unajiweka kwenye UPWEKE WA MOYO... Jiulize kwanini kutwa unalilia MAPENZI na usiku ukiingia unakesha ukilia na kujutia kuishi kisa Mapenzi? Samehe yalokuliza ili ujipe nafasi ya kuendelea mbele lakini usiyasahau hayo yalokuliza, Mwanamke kiinue kichwa chako juu acha kujiinamia ni kujitaabisha na kukosa msaada ki akili, Muda wote jitengenezee FURAHA ya kwako mwenyewe ili umngojee ambaye atashiriki na PENDO LA DHATI KWAKO! Masononeko yanapausha mwili, Masononeko yanakomaza uso wako JE UNATAKA UWE KAMA BETINA WA SANI NDO AKILI IKURUDIE? Unaweza kuendelea kuwa MZURI ikiwa utajikubari hivyo ulivyo, Basi nikusihi kwamba USIKUBARI KILA MWANAUME ANAEKUJA KWAKO AONDOKE NA MVUTO WAKO bali jihakikishie kwamba kila kovu analoliacha Mwanaume muongo iwe kama kukosea kupaka mafuta ambayo hayaendani na ngozi yako, Baada ya kuanguka INUKA NA UENDELEE MBELE yupo ambaye UMEANDIKIWA.
#Elista_kasema_ila_sio_She
Post a Comment