TABIA HIZI ZINACHANGIA SANA KUVURUGA NAHUSIANO YA WENGI, KAMA UNAZO ZIACHE - EDUSPORTSTZ

Latest

TABIA HIZI ZINACHANGIA SANA KUVURUGA NAHUSIANO YA WENGI, KAMA UNAZO ZIACHE

Habari za pilika pilika za Kusaka tonge natumai nyote mmesalimika na kwa walio wagonjwa natumai Mwenyezi mungu hatawapa tahfifu na wale walotangulia hawape njema pepo.
Leo tujaribu kuzitathimini hizi tabia zinazowafanywa na watu walioko kwenye mahusiano nadhani kuna baadhi ya watu pia hawazipendezei embu angalia kama tabia hizi unazo jaribu kuzipunguza au kuacha kabisa!
2. MAWASILIANO
Suala la mawasiliano(simu) limekua lina matatizo sana kwenye mahusiano ya mapenzi, ulishaamua kua nae sasa mambo ya kuficha ficha ya nini? Mara simu ukipigiwa upo na mpenzi wako unaogopa hata kupokea, Mara umeweka password(lock) yote ya nini? Kwa wale wenzangu na Mimi watajitetea Wanawake hivyo ili simu isijipige ni sawa fanya kitu kimoja awe anajua huyo mtu wako hiyo password yako utamuweka kwenye amani na utulivu ndani ya moyo wake.
3.SAFARI ZISIZO NA MSINGI
Kila siku kiguuu na njia leo umeenda kwa mjomba kesho kwa baba mdogo au leo natoka na washkaji tunaenda sehemu fulani hivi embu jaribu kuziacha hizo tabia mara moja nadhani utaweka hali ya amani kwenye mahusiano yenu .
4.UNA MUDA NA MWENZIO
Kila mwenzio hakihitaji muda wa kukaa na wewe kila wakati sababu zisizo za msingi, Embu tafakari mara ya mwisho mlikaa lini na mkajadiliana kuhusu nini? Na ilo mlilojadiliana limeleta manufaa kati yenu na kama halijaleta manufaa mmepanga plani ipi baada ya Ile kuferi?
5.ZAWADI
Katika moja ya chachandu za mahusiano suala la zawadi ni muhimu embu fikiria mara mwisho lini kumletea zawadi mpenzi wako?
Nakumbuka kuna mtu mmoja aliwahi kuniuliza mbona siku hizi mapenzi yangu na mtu wangu yameshuka sana nikamuuliza swali kama ili akanijibu "Kiukweli Mimi tokea niwe na mahusiano na mwenza wangu sijawahi kumnunulia zawadi yoyote hata kwenye siku yake ya kuzaliwa sijawahi mpa zawadi yoyote"
Nikamuuliza swali lingine Je? Wawe ashawai kukupa zawadi ?
Akanijibu " Mara nyingi tuu"
Hapo nikapata ufumbuzi suala lake. Sikuambii zawadi Mpaka iwe kubwa hata pipi inamtosha na kujiona kwako Mali sana.
6.KUMTHAMINI MWENZA WAKO
Jambo ili kwenye mahusiano lipo asilimia 10 tuu nilipochunguza kwa asilimia zilizobaki zote hakuna, Suala la kumthamini mwenzio sio Mpaka uwe na pesa bali ule utu wako tuu utafanya mwenzio akupende sana. Embu vuta kumbukumbu mara ya mwisho lini uliwahi kumuuliza unataka afanye kitu gani ? Au katika biashara yake kakwama wapi?




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz