*(1)Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.*
*(2)Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri, hivyo usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende.*
*(3)Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi, mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku 'treat' kama ucha
*(4)Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi, kuna mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini?*
*(5)Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe, siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi...*
Post a Comment