RAHA TABU YA MWANAMKE KWENYE MAHUSIANO

RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MSOMI na MWEREVU,
MESEJI ZAKE
1. Ndio mpenz wangu, nimekumiss sana. Naenda pata lunch, tutaongea vizuri baadae. Love you!
2. Mume wangu kipenzi nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu atupe amani na upendo katika familia yetu tarajiwa.
3. Sitaacha kukupenda, nitakuombea na nitaku-support pale ukinihitaji kwa chochote hata kwa ushauri nishirikishe, plz kuwa mwaminifu na mie.
SASA UWE NA MWANAMKE MWENYE BIRTH CERTIFICATE TU
1. Morning babe, send me credo..plz bae😘
2. Bae plz dont 4get pizza,😋 alaf kuna mtu anauza perfume nzuri kweli. Luv u xo xo😍
3. Bby time 4 swimming, naenda na my friends then i need some money plz 💵 💰
4. My handsome boy buy me data plz💋
5. Mpeenzi sijikii kulala 2chat bax , mi ntalia.. nshanuna hapa.😏.
6.My hubby naomba hela ya dela la kuendea kwenye 40 ya mtoto wa Maimuna
7.Bebe nataka niende msibani plz plz naomba hela ya saluni tyu
Kweli au Si kweli????????
Image may contain: 1 person, standing


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post