Nisikilize Mwanaume nikuhabarishe👂

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing, ocean, outdoor and water
Kwanza nianze kwa kukwambia kwamba "HAKUNA MWANAMKE UTAMKUTA AMEFIKISHA MIAKA 18 HAJAUMIZWA NA MWANAUME MWENZIO"
Laiti kama lingetokea duka la kuuza FURAHA NA AMANI wallah leo wanaume tungekuwa hatuna watoto wala tusingempata Mwanamke wa kumalizia hamu zetu😂😂😂😂
Maana yake DUNIA INGESIMAMA KUZAANA😎
Wanaume ambao wangepata Mwanamke ni wale ambao wamejitoa AKILI, MWILI, MOYO NA MUDA kuhakikisha kwamba MWANAMKE ANAPATA HAKI ZAKE STAHIKI💃
Nikwambie huku nimekutolea jicho😳
Wanawake walivyo na juhudi ya kutafuta pesa kwa karne hii kweli nakwambia kama wangepata mahala panapatikana KIFURUSHI CHA FURAHA NA AMANI Mbona hizo suruali zenu mnashusha milegezo saa hii mngezipandisha wenyewe tu💃
Wala hizo sijui GYM kwa ajili ya kujazia vifua wallah ZINGEKUWEPO KWA MAANA HALISI YA MAZOEZI NA SIO KUTENGENEZA VIFUA ILI WADADA WAZUZUKE
Kila Mwanamke hitaji lake ni KUFURAHIA NA KUJAWA AMANI hayo mambo ya sijui cha "J" mara vumbi la congo kwa Mwanamke TENDO LA NDOA ni sehemu ya hitimisho tu, Muda mwingine na hizo papara zenu kama BATA🦆
Mnajikuta mnawachafua wenzenu huku mkiwaacha wakiwa HOT🔥
Ndo kwanza unakimbilia bafuni kukoga🚿
Ina maana gani wewe kuitwa Mwanaume na wala hujui Mahitaji ya mkeo🤷🏽‍♂
Jiulize Kwanini wanawake wote kilio chao ni kimoja?
Ukiishapata majibu jichunguze BINAFSI yako JE UNAMTENDEA MWANAMKE WAKO YAMPASAYO MWANAMKE KUWA HAKI YAKE?
Ukiona Hapana ungana nami kukubari kwamba WANAUME TUNAZINGUA😭
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria🙋🏻‍♂


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post