NI NANI MWENYE MAMLAKA YA KUTAMKA NDOA KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE?

Image may contain: 1 person, smiling, sitting and close-up
Najua majibu yenu ndo niliyo nayo, Mwanaume ndo mwenye jukumu la KUTAMKA NDOA MBELE YA USO WA MWANAMKE💃
Lakini ukiona Uko kwenye MAHUSIANO na Mwanaume takribani miezi 6 na Mtu huyo haongelei kama yupo kwenye mpango wa kukuoa HESABU ULIKUWA KWENYE STAREHE na badilisha mwelekeo mapema, Kama umefurahishwa na starehe SHIKAMANA Kwani ndo maisha dadaangu ila kama mtazamo wako Ulikuwa UMEPATA MUME hapo hesabu hasara😂
Waswahili wanasema YAJAYO YANAFURAHISHA basi mwaga manyanga endelea na safari nina hakika huko mbele yupo ambaye ameandikwa kwa kiwango hicho cha HESHIMA YA MUME💪🏽
Muda ni Mali hebu tunza Muda uone vile MUDA UNAVYOTUNZA FURAHA🙋🏻‍♂


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post