Mwanamke asokuwa wako ni mzuri kuliko Mwanamke uliye nae, Wakati huo huo Mwanamke mzuri hana uzuri kwa aliye nae kwa wakati huo, ila Mwanamke wako ni mzuri kwa anaemkataa Mwanamke uliyempenda wewe, Mzunguko huo unakupa sura na taswira ya kwamba KIZURI NI KILE KILICHOKOSA THAMANI KWA MWINGINE na kizuri cha leo ndicho kibaya cha kesho, Ukiona UMEKIPATA KISHIKE maana kuna wanaotamani kukipata, wakati utakapokuwa umejua thamani yake na kikawa kina mwingine sio chako tena na ukikiparamia UTAKAMATWA WIZI.
Mungu akamuumba MWANAMKE kwa ubora wa tunda, na kawaida ya tunda ni KUKOLEZA HAMU ndivyo Mwanamke alivyojaaliwa, Mfano wa Mwanamke na majaaliwa yake fuatilia tunda liitwalo APPLE🍏 ukilikata katikati ndipo ukalifafanua utapata mshangao, Ni vile tu wanawake wengine hawajui kutumia vyema TUNDA lao ila MASHA ALLAH walipewa HAZINA YA UTAMU👌
Uonapo unaingiwa na hali ya kutompenda Mwanamke uliyempenda ujue kwamba
"UKOSEFU WA UTULIVU KI AKILI UNAKUWINDA"
Nijuavyo wanaume HATURIDHIKI NA MWANAMKE ila TUNAWEZA kutulia na Mwanamke ikiwa tumezishinda tamaa zetu, Ujinga wa MWANAUME ni pale anapoweza KUMPENDA kahaba kwa ajili ya mambo ambayo ni kwa starehe ya mpito, Na wakati huo huo ana MPENZI ambaye anavyo vigezo vya MKE💏
Mwanaume ni kama JOGOO Yaani starehe kwake ni muhimu kuliko UPENDO😂😂
Mfuatilie JOGOO kwa juhudi za kumtafutia minyoo kuku akipata upenyo akadandia ni misukumo miwili tu huyuuuuuuuu🙈
Faster anajikung'uta na kuendelea kusaka jike mwingine😂😂
Mwanaume anamtongoza Mwanamke hata ukiishi Tanga kabla hujampa UTAMU atakuja hata hujamuita ila mpe utamu sasa jibu lake kwako NIPO BUSY😭
Wanawake mjuage kubania UTAMU sio kila mmoja anataka kuchonga MZINGA wengi ni kulamba na kusepa, Mmoja tu ndo ATAKUJA KWA WAKATI WA BWANA.
#Elista_Kasema_ila_Sio_She
Post a Comment