MWANAMKE ZINDUKA! FAHAMU HILI

Image may contain: one or more people and outdoor
Usimuamini Mwanaume anaekufahamu kwamba ANAKUPENDA ziko sababu nyingi katika hilo ila naomba nizungumzie jambo moja;
Japo ni ukweli WANAUME hawana upendo wa DHATI ila sio kweli kwamba hawajui KUPENDA.
Ili ujue kwamba wanaume wanao upendo kwa aina hiyo hiyo ya UPENDO walionao MWANAUME ANAO WIVU kuliko Mwanamke, Mwanamke anaweza kushuhudia MUMEWE amelala na Mwanamke mwingine na akaombwa msamaha na akasamehe, ila Mwanaume hata akiona msg tu ni ngumu sana kumsamehe Mwanamke, Nirudi kwenye MADA:
Mwanaume kama anajua kwamba Una Mwanaume au Mume halafu akakutamkia NAKUPENDA kataa rafiki yangu, Hayupo Mwanaume anampenda Mwanamke mwenye Mwanaume mwingine hiyo ni nature yetu, Kitendo cha Mwanaume kujua wewe ulikuwa na Mwanaume fulani na akajinasibu anakupenda ujue ni TAMAA ama nae anataka kuona kilichomfanya yule akakupenda, Starehe ya MWANAUME NI KUONGEZA NAMBA YA WANAWAKE Swala la kupenda ni BAHATI NASIBU.
Ndo maana Mwanaume huzama zaidi kwenye penzi la Mwanamke asomfahamu kikubwa Mwanamke ajitahidi kuficha FILE LAKE utapendwa na kuashangaza walokujua, Lakini ikiwa atakujua wallah ATAKOMEA KUKULA ili atimize adhima yake, SIMBA🐆 akishiba anaweza kuwinda kwa ajili ya TAMAA TU.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 😎


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post