Ukifuatilia kwa kina maana ya UPENDO unagundua wazi kwamba UPENDO WA KWELI HAUGAWANYIKI kwa mantiki hiyo hata kama Mwanaume atamtendea ubaya mkubwa kiasi gani Mke wake still ATAMPENDA TU.
Kama hampendi maana yake alipashwa KUMPA TALAKA NA KUACHANA NAE lakini ikiwa yupo nae na bado anakutaka wewe basi ujue kabla yako kuna mwingine, lakini baada yako atakuwepo mwingine nae ataachwa lakini MKE ATAENDELEA KUWA NA NAFASI YAKE kwa AGANO la MUNGU📖
Pengine ni tamaa ya MUME ndo imepelekea ndoa yao kuwa katika mgogoro, Mara nyingi msaliti ndiye mwenye makosa kwa kuogopa kuumizwa Kwani falsafa ya USALITI NI UBINAFSI.
Muache Mwanamke Mwenzio afurahie ndoa yake UTABARIKIWA👏
Lakini ukipenda ahadi na unayopata kwa MUME wa mwanamke Mwenzio ujue unajiweka kwenye LAANA kwa sababu unataka kujivika cheo cha BIBI mdogo wakati MwenZio ni MKE HALALI.
Unajua maana ya BIBI mdogo ilipatikana wapi kwenye MAANDIKO?
Kitabu cha;
1 SAMWELI SURA YA 1 MPAKA YA 2 ndipo utaona namna UPENDO WA ELIKANA ULIKUWA KWA MKEWE HANA kuliko kwa kijakazi wake PENINA.
Pamoja na kwamba tayari MUME amemsaliti Mkewe haimaanishi kwamba hampendi ndo maana ya neno USALITI kwa sababu hakuna msaliti aliye single bali msaliti ni Yule aliye na Mtu na akamtaka mwingine.
Wanawake mjifunze kupitia PENINA kwamba Mwanaume anapokuja kwako na tayari ana Mke wake Basi ujue wewe sio BIBI mdogo kwa MUME WA MTU bali wewe ni KIJAKAZI ama ki mwili au kwa nguvu kazi zako, Still MKE anabaki kuwa MKE wala cheo chake hakina MSAIDIZI⛔
Yaani BIBI mdogo sio mbadala wa MKE⛔ ila mkiwa MICHEPUKO miwili ndo mnaitwa MABIBI WAWILI maana yake wewe una BIBI MKUBWA WAKO ila MKE NI NAMBA MOJA ninyi mluke sarakasi hata mmvunje kiuno Baba wa watu mwisho wa yote ATAREJEA KWA MKEWE😎
#Elista_Kasema_ila_Sio_She
Post a Comment