*MWANAMKE JIFUNZE HAYA MAMBO 15 UBORESHE NDOA YAKO ACHA KULIA NA KULAANI ETI WANAUME NI WALE WALE*


🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹
*1.Ukiwa kama mwanamke pale panapotokea ugomvi baina yako na mumeo jifunzi kukaa kimya na jishushe katika ugomvi hata kama yeye ni mkosa jifunzi kuomba samahani kama anabusara ataeliwa usiwe mtu wa tit for tat*
*2. *Akikukwaza kwa lolote au maneno makali usiwe mtu wakujibu mwambie tu asnte au samahani mume wangu*
*3.Hakuna mwamume anapenda mwanamke wakumrudishia maneno hivyo basi jifunzi kumiliki mdomo wako hata kama anakurushia maneno na atakapokuwa ametulia ongea naye mumalize mgogoro musilale mukiwa.mumeteta*
*4. Usingalie uzuri wako ukaona ndio silaha yakudumisha ndoa yako hujaona wanawake wengi tu wazuri bado wako single lakini wanaishia kuzini na waume za watu tabia yako itakuhifadhi katika moyo wake*
*5. Kamwe usimfananishi mume wako na mwanamume mwingine huwezi jua huyu mwanamume mwengine ana mapungufu gani katika ndoa yake binadamu hatujakamilika*
*6. Usiwe wapokea tu muda mwingine hata wewe mnunulie chochote haijalishi anacho au hana kufanya hivyo kutaboresha zaidi ndoa yenu*
*7.Kuwa mwanamke mwenye mawazo yakujinga fikra ya mambo mshauri masuala ya maendeleo miradi kununua kiwanja na mingineyo usiwaze kula tu kununua kila kinachotokea na kwenda na wakati mapochi na shoping zakibabe pekee hayo mambo kwa mwanaume yamepita kushoto wanaume wengi wanapenda wanawake wenye maendeleo*
*8.Muheshimu yeye pamoja na familia yake usimdharau wadogo zake dada zake hana namna hao ndio ndungu zake na kimbilio alo nalo hata kama hawana hali nzuri*
*9.Kuna baadhi ya mambo waeza dhani ni madogo lakini yana faida kubwa neno samahani nakupenda na Asnte kisha mpigie simu kila mara mwambie unafurahia kuwa na yeye sio kila saa yeye ndo akutafute mapenzi ni two way traffic*
*10.Jithamini wewe kwanza na yeye akuthamini*
*11.kwa kuwa hana utajiri leo haimanishi kwamba ndo atakuwa maskini milele jaribu kumpatia moyo sana na tizama sana mawazo yake katika mafanikio ila kama yeye awaza uzinifu na strehe hilo ni jipu kwani linaleta ufukara*
*12.Hakuna binadamu aliyakamilika kama atakuwa na tabia usiyo ridhia basi jaribu kuibadili na ukishidwa basi ficha udhaifu wake alionao*
*13.Ipambe ndoa yako kwa maneno mazuri yakumuita mwenza wako yanaongenza mapenzi baina yenu na hakisha unapendeza kwa jili yake tu si kwa wengine*
*14.Usimuombe mwenza wako talaka nakumtishia unataka akuwache mtu sahihi apaswe kutamka maneno hayo ni vigumu kinywani kwake usiseme hivyo haipendezi*
*15.Hakikisha katika ndoa yako munajingana imani kukumbushana walau kusoma Vitabu vya Mungu hata karaa moja kwa siku kudumu na adhakar kukumbushana swala kwani ndo ufunguo wa kila kheri ndoa itadumu milele*
*MWISHO WA SOMO*
🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹🔹


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post