Ninazo sababu nyingi katika hilo lakini kwa leo wacha niseme nawe kwa maana moja tu nayo ni;
"MWANAUME HUWAKA TAMAA KABLA YA KUPENDA NA IKIWA UTAMKUBARI NA UKASHIRIKI NAE TENDO INABAKI HURUMA YAKE KUENDELEA AMA KUTOENDELEA NA WEWE"
na hapo ndo nataka unielewe, kwamba wewe unaweza kuwa Mzuri, unayo heshima na ubora mwingi ila Mwanaume asione hayo maana yake kuna ambalo hunalo wewe atakwenda kwa Mwanamke mwenzio, Na hapo ndipo utakubaliana nami kwamba KABLA YA KUMPA NAFASI MWANAUME JENGA MITEGO NA VIKWAZO KWAKE ILI KAMA AKIVUKA KWA NAMNA ULOKUWA UNAIFIKIRIA GO AHEAD🔜
Lakini hizi tabia zenu kupenda suruali na T-shirt zinavyoweza kuupamba mwili kwa kudhania mnavyoweza kudhani ITAKUWA NGUMU KUWAELEWA WANAUME🚫
Lakini ikiwa utabweteka kwa kujitazamia kwamba wewe ni mzuri ama una hiki ama kile wallah MWANAUME haijui maana ya msemo wa wahenga kwamba;
UTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE kwani hata mimi nataka nikwambie NYAMA IKIKAUKIA BUCHANI HAINA MVUTO maana raha ya NYAMA iwapo buchani ivuje damu inaleta uhalisia wa UBICHI🙈
Jifunze kujikubari kwamba WEWE ni Mwanamke mzuri na mwenye WINGI WA HAIBA kwa Mwanaume but nakukumbusha;
USIJIAMINI KUPITA KAWAIDA kwa sababu wanaume wanabadilika muda wowote kwa kufuata mihemko yao, Uonapo umempenda Mwanaume LAZIMISHA AKUKUBARI NA KUWAONA WENGINE HAWANA MAANA💪🏽
Ukibweteka UMELIWA HATA NA AMBAO HAWAKUTAKIWA KUKULA🙋🏻
#Elista_Kasema_ila_Sio_She
Post a Comment