MAPENZI Yanaumiza
Hasa inapo tokea mtu unae mpenda ana amua kutumia madhaifu yako ya kumpenda vile anavyo taka...
Haoni shida kukuona kuwa una umia... Atakufanyia visa vya waz wazi..atakufanyia usaliti wa wazi waz..kuna mda atakupiga au kukutukana
Kuna mda atakutamkia waz waz kuwa hakutak tena..muachane...
Pamoja na hayo yote KAKA na DADA usifikirie kukatisha uhai wako kisa Unae mpenda Ana kutenda....
UHAI wako una umuhim mkubwa sana maana kuna watu wenye umuhim ktk maisha yAko kuliko Mpenz wako
Kumbuka
Kabla yake uliwah kuwa na Mpenz
Hivyo hata baada yake utapata atae kupenda
Hivyo hata baada yake utapata atae kupenda
Fanya Tabasam lifiche maumivu yako... Usiumize akili yako kwa mtu asiye thamin hisia na maumivu yako
Mapenz ni kama UA
Kuna kuchanua na kunyauka
Jiandae mda wowote maana atae kuumiza hujui ni yupi na wa kukufarij pia hujui
Jiandae mda wowote maana atae kuumiza hujui ni yupi na wa kukufarij pia hujui
Mapenz yametuweka gizan
Mungu tu ndiye atuangazie njia na mlango sahihi
Mungu tu ndiye atuangazie njia na mlango sahihi
Post a Comment