Kwamba UHAI wake unatokana na umakini wa utunzaji na ubebaji husika, Maana halisi ya MAPENZI ni wawili kuamua kushikamana na kujenga dhamana ya kuwa WAMOJA jambo ambalo wachache ndiyo walioweza, Ila asilimia kubwa ya MAHUSIANO yanaendeshwa na SABABU
Kila Mtu huwa na uhitaji wake kwa Mtu ambaye anataka awe nae, Lakini swala la kusimamia DHAMANA YA PE-NZI HUSIKA ni mtambuka sana Kwani tatizo linakuja ni MTAZAMO wa kila mmoja, Upendo una NGUVU sana kiasi ukikutana na MTU MWENYE UPENDO WA DHATI LAZIMA UTAKUWA SALAMA
Ukikosa KUPENDWA na Uko na Mtu ambaye anakutumia kwa sababu zake huyo ni hatari kwako, Ni rahisi kujenga FURAHA NA AMANI ikiwa utakuwa na Mtu mwenye mtazamo kama wako, Kinyume chake ni Sawa na GLAS🍺 kuanguka na kupasuka UNAWEZA KUIKUSANYA ILI UKAITUPE ila sio kuitumia tena, Kwani MAPE-NZI YAKIFA YAMEKUFA huwezi kuyafufua wala HAYAWEZI KUISHI TENA Maana yamekufa, Zaidi ya hapo ni wewe kulazimisha kitu ambacho hakiwezi kufanya kazi tena.
USIJARIBU KUUNGA MAHUSIANO KWANI HAYAWEZI KUWA IMARA TENA NA YAKIPASUKA YANAWEZA KULETA MADHARA Kwani tayari moyo wa mwenza wako unabaki na siri zake ambazo hutozijua, Mwisho wa yote ni WEWE KUTESEKA.
#Elista_Kasema_ila_Sio_she
Post a Comment