lakini hawajui sababu hasa iliyopelekea kuikosa na wakati mwanzo wanakutana walisema "MAPENZI SI HAYA SASA"👌
Kwanza kabisa tujue madhara ya MAMLAKA kwenye MAHUSIANO/NDOA;
■ MWANAUME ANAHITAJI UTAWALA💪🏽
■ MWANAMKE ANAHITAJI UONGOZI👑
Kwa maana fupi MTAWALA hupenda awe juu ya mwingine, KIONGOZI hupenda kusikilizwa, na hapo utabaini chanzo kikuu cha FURAHA KUTOWEKA KWENYE MAHUSIANO/NDOA NI PALE MTAWALA "MUME" anaposhindwa ku-control temper zake hata akavuka kiwango cha utawala wake na ndipo KIONGOZI huhisi anaonewa kwa kushindwa kusikilizwa... Ikumbukwe kwamba kila mmoja ana makuzi yake, Mnapounganishwa na MAPENZI siraha kubwa ni MAELEWANO na kwa vyovyote vile huwezi kumuelewa mwenzio kama hujakubari kumsikiliza, Hapo unapata jibu moja tu MWANAMKE NDIYE AYAJENGAYE MAHUSIANO/NDOA YAKE ikiwa tu MWANAUME ATAMSIKILIZA! Lakini kwa DUNIA tuliyopo kumpata mwanaume wa kukusikiliza ni mpaka ukatambike kwenye KABULI LA BIBI YAKE NA BIBI YAKE BIBI YAKE MUME WAKO🤣🤣
Maana yake ni ngumu kumeza, Lakini wapo japo sio wengi kwenye 10 unaweza kumkosa mmoja, Mpaka umpate ni kwa rehema ya MUNGU🙏
KOSA LETU LIKO WAPI🤷🏽♂
Kuona Mwenzio hana ujanja ni ishara kubwa ya wewe kumtumia utakavyo, Misingi ya PENZI LENU WAKATI MNAKUTANA mliitupa na kufuata maisha ya ku-copy n paste hapo ndipo MLIPOIACHA NJIA YENU mkafuata njia ya wengine🙆🏿♂
Je mnaweza kurejea kwenye Msingi ule?
Ni ngumu sana, Sababu ni moja tu PENZI HALIPATANI NA KARAHA! MOYO ukiisha ugulia ama kuumizwa mara nyingi ama kwa kawaida huwa UNAKINAI... Unaweza kudhani Bado yupo nawe japo mnapitia kelele kumbe MwenzIo yupo kwenye MAANDALIZI YA SAFARI 💃🕺
Ni lini ataondoka Mimi sijui lakini unayo nafasi kubwa ya kujaribu kumrejesha kwenye FURAHA Kwani anakupenda ndo maana anaugulia penzi hili, Mrejeshe kwenye AMANI kabla ya kuzungumza nae, Yale yaliyokuwa kikwazo kwake yaondoshe yote ili nae ahisi unabadilika na hapo uitafute FURAHA yake umpe, Kwakuwa ANAKUPENDA anaweza kusahau uliyomuumiza nayo, Ila nakupa
ANGALIZO🚫
Usimrejeshe kwenye misingi ya PENZI lenu kwa sababu zako Kwani mwenzio atakuwa anakutazamia akihisi una-pretend ATAKUACHA BILA KUGEUKA NYUMA KWANI ATAGUNDUWA WEWE NI LA KUVUNDA hata ubani wa aina gani HUWEZI KUNUKIA🙋🏻♂
#Elista_kasema_ila_Sio_she
Post a Comment