Ewe mwanamke🌹
🌹 Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondoka🌹.
🌹Haipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe🌹
🌹 Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe🌹
🌹Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe🌹
🌹Haipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu🌹
🌹Haipendezi mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono🌹
🌹Haipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea🌹
🌹 Haipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu🌹
🌹Ebu badirika🌹
🌹Mume akiitaji chakula mtengee vizuri🌹
🌹Mpakulie mumeo ukiwa umetulia
kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu🌹
🌹Mlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe🌹
🌹Kaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe, chakula kiingie tumboni vizuri🌹
🌹Mume ana hadhi yake bhana 🌹
🌹Raha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni 🌹
🌹usimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu🌹
🌹 Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga🌹
🌹 jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako 🌹
SHARE NA WENGINE

Post a Comment