(KWA WANANDOA TU) NGOJA NIWAPE HAYA MACHACHE YENYE UMUHIMU.

 kitu kwa ajili yako.
3. Wanaume ni wazito kusema "samahani" Ila hilo neno wala halikupunguzii uanaume wako. Pale unapomkosea muombe Msamaha. Hii itaonesha ni kwa kiasi gani unathamini moyo wake.
4. Mnunulie zawadi, hata kama ni kitu kidogo na cha bei ndogo. Mwanamke anayekupenda hua hajali gharama, anajali alama na jitihada zako kwamba atleast unamkumbuka ktk fikra zako kiasi cha kumpa zawadi fulani.
5. Muombe ushauri katika perspective mbalimbali. Hata kama unajua huwezi kutumia ushauri wako. Wewe muombe tu hivyo hvyo. Hii itamuweka katika nafasi ya kujiona unamthamini katika mipango yako.
6. Mbusu bila sababu, mguse na kumshika bila sababu ya msingi. Yeye ni mali yako unayo haki hiyo. Mfanye ajisikie kwamba unamhitaji leo jana na kesho.
7. Mtreat vizuri siku zote, sio pale tu unapotaka tendo la ndoa. Kwa kufanya hivyo utamfanya hata siku ya ku-make love afurahie tendo to the maximum. Tendo la ndoa kwa wanawake ni hisia, ukiumiza hisia zake, hata tendo la ndoa litamuumiza. Jali moyo wakez nae atakuonyesha maajabu katika tendo.
8. Muangalie usoni unapoongea muelekeze pale anapokosea, usimkosee heshima na kumuonesha wazi kabisa kwamba ana-share na wengine huko nje. Moyo wake utakufa ganzi.
9. Msaidie kazi za nyumbani na malezi ya mtoto/watoto. Ni mwanamke uliyempenda, ukamchagua na kumuwowa. Hivyo ni msaidizi wako sio Kijakazi.
10. Mpe moyo pale anapojihisi kukata tamaa, mkumbatie pale anapojihisi yupo down. Kuwa upande wake pale anapoonewa wazi kabisa na familia yako. Faraja kubwa ya mke ipo kwa mumewe.
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa. - MIT. 31:30.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post