KUWA MAKINI NA HILI KATIKA MAHUSIAO YAKO. - EDUSPORTSTZ

Latest

KUWA MAKINI NA HILI KATIKA MAHUSIAO YAKO.



ANGALIZO KWA WOTE
Mapenzi ni kitu ambacho kimewaumiza wengi japo wapo wengine ambao wanafurahia mapenzi na kuna wengine hawataki hata kujasikia mapenzi jambo la msingi ambalo nahitaji kuwaasa ndungu zangu...ni kukujuza vitu ambavyo ni sumu ya mapenzi na chanzo cha maumivu ya mapenzi kwa walio wengi.
1.USANII(UWONGO)
Hii tabia ya uwongo ni sumu kubwa katika mapenzi na ni busara jamani kabla hujampa mtu nafasi ni vyema ukatambuwa kama akisemacho kinaukweli ndani yake.Kuwa katika uhusiano na mtu muongo ni sumu mbaya sana na hii ni kwa wote wanaume na hata wanawake pia.Ila tabia hii wanayo zaidi wanaume,kukwambia anakupenda haitoshi jiulize asemapo huwa anamaanisha?na vipi zadi ya kutamka matendo yake je yanasadifu kile akisemacho?naamaana anajali,anakuheshimu,anakuthamini,muwazi,mpole,mkarimu na anahuruma na wewe?vipi anakusikilza?anakushirikisha kwenye mambo yake?anaheshimu maamuzi yako? kama tofauti na hapo MUONGO JIWEKE NAE MBALI
2.TAMAA
Hili pia lipo pande zote jamani wapo wanaume wasiopenda kujituma na matokeo yake wengine wanadiriki kutamani kutoka kimapenzi na wamama watu wiamini watalelewa na kutimiziwa mahitaji yao,wpo pia kinadada ambao wanatamani kuishi maisha mazuri na kumiliki vipi vya thamani kama simu,samani za ndani,magari na hata mavazi jambo linalo wapelekea wjirahisishe kwa wanaume wenye pesa.Swali la kujiuliza utakubali ktoka na wangapi wenye pesa jamni lakini unauhakika gani huyo utokanae akupaye pesa hana maradhi.......?
ONYO:JAMANI THAMANI YA MWLI WAKO NI ZAIDI YA HAYO UKIMBILIAYO NA WEWE NI WA THAMANI HAKUNA KAMA WEWE KAMWE HATA KUWEPO,,JITHAMINI NA TAMBUWA THAMANI YAKO JIHESHIMU UHESHIMIWE.............THE ROAD TO A SUCCESSFULL RELATIONSHIP STILL UNDER CONSTRUCTION KEEP ON WEGHTING........MAPENZI KAMA SAFARI YA UVUVI CHUKUA YANAYOTAKIWA YASIYOKUFAA ACHANA NAYO...NAWAPENDA SANA




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz