KUNA WAKATI TUNAPASHWA KUKUBARI KUDHARAULIWA ILI MATENDO YA MUNGU YAJIDHIHIRISHE KWETU!

Image may contain: one or more people
Mtu anapokudanganya kwamba anakupenda na Wewe ukajitoa, ukashiriki na kumpa muda na mwili wako ATAFAIDI NINI KWA MATESO ANAYOKUPITISHA NAYO? Ni kweli yeye anajua Mimi sio wake ndo maana anaweza kunihadaa🙆🏿‍♂ lakini yuko MUNGU. aliyenifanya niwe kama nilivyo kwa THAMANI kubwa ama ndogo atamfanya mwingine awe wangu💑
Bin adam wamegeuka kuwa wanyama🐅 wa nafsi lakini wanatajwa kama watu🕺💃
Raha iliyo na UPONYAJI kwa nafsi yangu ni kwamba UWAPO DUNIANI USIJIONE UMEMALIZA MATATIZO YAWEZEKANA LEO UNAFURAHIA ILA KESHO YAKO HUIJUI! Kila gumu linapokuja tarajia kwamba JEMA LIKO MBELE YAKO wala usilie kwa kudhani MUNGU HAONI TESO LAKO ni muda pamoja na subra UTAPOKEA HAJA YA MOYO WAKO 🙏
Uambie MOYO wako uwe mvumilivu, Ufundishe MOYO wako kungojea, Ukumbushe MOYO wako kwamba sio wewe tu unapitia MAGUMU wapo ambao wanayo magumu kuliko hilo la kwako, Usikubari kukata tamaa HURUMA YA MUNGU IKO MBELE YAKO🕌
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria🙏


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post