Kulazimisha MAPENZI kwa Mtu ambaye hajui alikupenda lini na lini aliacha kukupenda, ni Sawa na kuwasha MSHUMAA kwenye UPEPO Yaani kama hujakinga mikono yako UPEPO usiyumbishe uwakaji wa mshumaa, lazima mshumaa utazima!
Mapenzi yanatokana na UPENDO haiwezekani MAPENZI yakasitawi ikiwa Mtu na Mtu Yaani waliyoyaanzisha MAPENZI husika hawataki PENZI lao liwape FURAHA.
Ni ngumu mno kumfanya Mtu akupende Kwani KUPENDA kunatokana na UHITAJI binafsi, Kama HUPENDWI kumbe unalazimisha nini?
Kama hakupendi HAKUPENDI TU wala huwezi kulazimisha AKUPENDE maana HAKUPENDI TU🚫
Post a Comment