Kuelekea siku ya wanawake duniani mwanamke yajue haya..

.Kuelekea siku ya wanawake duniani mwanamke yajue haya...fanya kazi kwa bidiii , tafuta sana pesa ila kamwe usitafute pesa kutafuta haki sawa kwenye ndoa yako utafail!!najua kuna magroup yenu yale ya whtsaap...sijui MWANAMKE SHUJAA, SIJUI MWANAMKE JASIRI, SIJUI MWANAMKE AMKA..najua munajifunza mengi huko..lakini usipokuwa makini na kuzoa kila kitu kinachofundishw huko utaharibu ndoa yako..najua munafunddishana mengi huko..hata raha munazopewa na michepuko munafungukiana huko ila kamwe usije ukaiga yasiopaswa huko!!!najua munahadithiana madhaifu ya ndoa zenu huko..ila kamwe usitoe siri za ndoa yako, najua munaambiana jinsi waume zenu wasivyoshughulika vizr kitandani siku hizi lakini kamwe usjije beba ushauri wa kutafuta michepuko utapoteza taswira ya maisha yako..kibonde nakukumbusha kuwa ndoa ni maisha ..huwezi kujua utamu wake mpka utaipoipoteza..kuna watu wanasaka ndoa mwka wa saba huu na bado kimya leo ww unatak kubeba ushauri wa kucheat ndoa yako usifanye hivyo binti yangu..najua mumeo kapunguza dozi kitandani, najua mumeo siku hizi hakuandai vzr, najua mumeo siku hizi kapunguza kukuletea vizawadi..ila kucheat siyo solution tafuta ufumbuzi/najua kwenye magroup yenu ya MWANAMKE SHUJAA...munasisitizana sana kutomtegemea mwanaume ni kweli inabidi upambane kutafuta pesa ila kamwe usitafute pesa kuwa boss kwa mumeo tafuta pesa umsaidie majukumu mumeo ndoa yenye team work ina mafanikio makubwa sana/najua yawezekana ww ni mwanaharakati wa kutafuta haki sawa kwa wanawake ila kamwe usilete harakati zako ndani ya ndoa utaipoteza ndoa yako na utabaki na harakati zako..usitafute haki sawa kwenye ndoa..muheshimu mumeo, acha awe kichwa cha familia hata kama umemzidi mshahara, mpe nafasi ya mume na bado ww utabaki kuwa msaidizi wake siku zote za maisha yenu/ndoa sio group la whtsaap kuwa utaleft na ku join utavyo..ndoa ni agano/handle with care...najua wakina dada munaweza musiipende hii post ila ndio ukweli mzima#kibonde
Counsellor


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post