Watu hawawezi kukupa heshima wakati wewe hujajitambua wewe n nani
Kuwa unavyotaka kunaanza na wewe Kwanza ndani yako ndipo na watu watafuata
Kuwa tajiri unaanza wewe na watu watakuita tajiri
Kuwa Mtumishi inaanza wewe na watu watakuita Mtumishi

Kuwa mfanya biashara inaanza kwako na watu watakuita mfanya biashara
Kuwa kile unataka kunaanza na wewe
#
#
Post a Comment