Maana mengi yana umiza ukisema ufikirie Sana'a. Yaliyo tokea ilibidi yatokee ili Mipango ya MUNGU itimie ktk maisha yakoo. Haijalishi umeteseka kiasi gani au unateseka mpaka sasa amini Mungu yu upande wakoo
Unao waona Leo wanafuraha na nyuso za tabasamu nao pia wana kumbukumbu zinazo waumiza. Anae funga Harusi leo jua huko nyuma nae alisaliti na kusalitiwa sana tu mpaka pale alipo mpata WA kufanana nae
Mtaani wanakuita SINGLE mother eti kwa sababu unalea pekee yako mtoto. Mimba uliipata kwa mtu uliempenda na mulipanga kufika mbali ila akakuumiza basi Mimi nakuita STRONG WOMAN
Haijalishi mwanao ana umri gan au umezaa na nani ila IPO SKU yupo atae jitokeza ktk maisha yako na kuishi na wewe kikubwa jitunze
Haijalishi mwanao ana umri gan au umezaa na nani ila IPO SKU yupo atae jitokeza ktk maisha yako na kuishi na wewe kikubwa jitunze
Kaka
Baba
Usimunyoshee kidole mwanamke aliye zaa ila hajaolewa na ukamuona hafai wakati we mwwnyewe huenda kuna mwanamke ulimkana yeye na mimba yakee. Lakini pia MWANAMKE kuzaa na wewe haimanishi kuwa lazima aishi na wewee hataa kama unaa Tabiaa za ajabu..

Vile vile Dada usilazimishe mwanaume akuoe kisa umepata mimba maaa kama hatak ndoa nawee ila ikapita kwa shinikizo jua utateseka sana utapigwa uta tukanwa.
Kwa ninii uendelee mililia ikiwa ueona kuwa hakutak au hanaa malengo na wrwe??
Hebu Mshirikishe Mungu ktk maombi yako
Post a Comment