Kwa tafsiri nyingine ili UVUMILIVU upatikane ni pamoja na kutafuta UWIANO WA MAKOSA anayotenda mwenza wako 💯
Maana waliopendana kwa DHATI ndio walioachana baada ya Mtu kuvunjika moyo 💔 japo watu wengi hawatanielewa ila wacha nikwambie;
• UVUMILIVU KWENYE MAPENZI UNATOKANA NA UAMINIFU KINYUME CHAKE MAPENZI YAKIINGIWA USALITI HUVUNJIKA IKIWA YANA UPENDO WA KWELI ILA YAKIENDELEA BASI KUNA SABABU INAYOLINDA MAUMIVU HAYO.
Mtu hataweza kusema analo pendo la dhati akaamua kuvumilia USALITI WA MAPENZI ⛔
Mahusiano na ndoa nyingi za sasa zinajengwa zaidi na hali ya maisha Kuliko UPENDO WENYEWE ndo maana imekuwa ngumu Mtu kuyaacha Mahusiano na ndoa kwa kuogopa ATAMPATA WAPI KAMA HUYO 😂😂
Walio yaacha Mahusiano na ndoa zilizowaumiza na kuamua kuitafuta Maana halisi ya UPENDO WA DHATI walifanikiwa kusahau MAUMIVU YA MAPENZI baada ya kupata watu sahihi.
Wengi tunarahisisha tuuu pindi dhoruba za MAPENZI zinapo taradadi hutafuta uwiano wa kosa hata kujikuta hatumalizani na walotuumiza ila tunatafuta RELIEF na mwisho wa hilo ni MAUMIVU KUZAA MAUMIVU hatimaye mtu kukosa hamu ya MAHUSIANO ama NDOA na kujikuta anageuka kulipa kisasi kwa kila aliyekutana nae huku akibakia na MAUMIVU MOYONI 💯
Uonapo umesaliti na ukavumiliwa chunguza kinacho mfanya akuvumilie maana kwenye UPENDO WA DHATI UVUMILIVU WA MAPENZI BAADA YA KUSALITIWA NI UONGO kwani yeye anatumia moyo upi?
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 🔨

Post a Comment