Ukiona uko na Mwanamke na ukagunduwa anamkumbuka Mwanaume aliyekutangulia basi anza kujisahihisha iko shida ameanza kuiona juu yako, Mwanamke kwa uhalisia haoni kasoro kwa Mwanaume anaempenda! Lakini ikitokea Mwanamke akaona kasoro kwako UJUE HAKUPENDI AU ALIKUPENDA NA AMEKINAI... Alivyoumbwa Mwanamke HUMCHUKUWA MWANAUME KI TASWIRA NA KUM-FEED AKILINI MWAKE KWA KUMPA UBORA WA AJABU na ataishi nae kwa KUMPENDA na kwa VALUE KUBWA kwa sababu moja tu AONYESHWE ANAPENDWA! Tofauti na Wanaume wao humchambua Mwanamke ndo maana Mwanaume anaweza kumtolea Madhaifu Mwanamke wake kwa dosari aliyonayo, Mwanamke ni Bin adam mwenye KUHESHIMU UUMBAJI WA MUNGU KWA MWANAUME ALIYE NAE na kwa maana hiyo ndo maana MWANAMKE HUANGALIA UPENDO WA MWANAUME NA SIO UZURI AU UBAYA WAKE... Tabia tulizonazo wanaume za kumbeba Mwanamke kwa matamanio kama tabia hiyo angeumbiwa Mwanamke Wallah WANAUME WACHACHE MNO WANGEKUWA NA WANAWAKE🤣🤣
Jiulize wewe unamtamani Mwanamke kwa Mguu wake wa bia, Sura yake ya kitoto, Kiuno cha dondora, Na Wanaume wengine jicho tu la mlegezo linakukamata HIVI KWA TULIVYOUMBWA WANAUME WENGINE TUNGEPONA KWELI🙆🏿♂
Maana siri wanazotutunzia wanawake kwa jinsi tulivyoumbwa kwa hakika MUNGU AMBARIKI MWANAMKE KWA MOYO WAKE MVUMILIVU WENYE WINGI WA UPENDO🙏
Jiulize kuna wanawake hutajwa kwamba "KAUMBIKA KIUME" Kwa hesabu hiyo jiulize ina Maana wanaume tumeumbwaje🤷🏽♂
Mwanaume ajuaye THAMANI YA MOYO WA MWANAMKE AMEBARIKIWA ndo maana hujua kwamba MKEWE anamvumilia kwa mengi hivyo Hujichunga na kumtendea Mabaya mkewe, Tumheshimu MWANAMKE na kumbebea madhaifu yake kwa kufanya hivyo tutakuwa tumemlinda na moyo wake🙋🏻♂
#Elista_kasema_ila_Sio_she
Post a Comment