1. UPENDO WA MAZOEA; Upendo wa aina hii mara nyingi mtu hushindwa kuondoka katika mahusiano ama ndoa kwa jinsi alivyo mzoea mwenzi wake, hujiuliza maswali mengi ikiwa hatakuwa nae lakini kubwa ni pale anapo hisi nafasi itachukuliwa na mwingine.
2. UPENDO WA UVUMILIVU; Upendo huu ni mzuri japo una changamoto zake hasa ukiangalia changamoto ya kugunduwa tabia ya mwenzi wako lakini ukajipa muda ili usubiri abadilike kutoka kwenye tabia mbaya na kurejea kule ulikuzoea mpaka ukampenda, Uvumilivu ni upendo sikatai lakini wapo ambao ukimvumilia yeye anakuona si lolote kwake na hiyo hudhoofisha upendo.
Yote yanaitwa Mapenzi japo kila moja na sehemu yake, Yapo mahusiano ama ndoa yameleta maradhi kutokana na usaliti au maumivu yasokwisha na hilo kupelekea mtu kuingia katika shida kubwa ki afya, Kila kitu kinahitaji kiasi ili kuweza kubalance jambo kuliko kuwa deep sana huku huna hakika kama umpendaye nae akupenda hivyo... Kuikamilisha maana ya UPENDO ni nadra sana kwani kuna vitu vingi sana vinahitaji uwepo katika penzi, Na kila bin adam ana UTASHI wake, Kuna mahusiano Mengine huja kwa sababu mtu amekaa peke yake muda wakati wewe ushakufa umeoza unafikiri penzi kama hilo utalifurahia? Kuna haja ya kujitafakari kwa kina kabla ya kusema NAKUPENDA! Wengi hulitumia neno hilo kama ushawishi kwa mwingine na baadaye huwaingiza katika lawama na pengine huwaletea shida wao, Wahanga wa Mapenzi ni wanawake kwakuwa maumbile yao yanaziweka mbali hisia zao, Wanaume walio wengi akiisha mzoea mwanamke ni nadra sana kumfikisha kileleni na hilo ndilo linawatesa wanawake wengi wasijue hatma ya starehe yao, Mwanaume akianza mahusiano na mwanamke ni rahisi kumfikisha kileleni kwani anakuwa mpya baada ya hapo ni KUBAHATISHA na sababu kubwa ni mazoea na hapa ndo unaona shida yake, Mwanaume ni rahisi kufurahia penzi kutokana na maumbile yake, Hakuna mwanaume ambaye hatafika kileleni kwa mwanamke AWAYE yeyote laa kama ni mgonjwa na kama ni mgonjwa hata hawezi kutaka penzi, Ipo haja wanaume kujitafakari katika hili Kwani linaleta sifa mbaya na kumuumiza mwanamke kisaikolojia, Ukijuwa kuwa MWANAMKE BILA KILELE ni kumchafua tu Basi utapambana afike kileleni, Wanaume wengi wana papara na hilo ndilo linawasababishia kusalitiwa kila kukicha maana akiisha kutana na mwanamke WAZO LAKE AMALIZE! Unaanzaje kumaliza kabla hujamsababisha mwanamke amalize? Ukiwa makini SHAMBA LAKO UTALIMA NA KUPALILIA MWENYEWE lakini ukiishi kwa mazoea UTALIMA NA MWINGINE ATAPALILIA MJE KUGAWANA MAVUNO.
Post a Comment