Mwanamke aliyependa sana huwa hasikilizi ushauri ukimshauri anakuona kama sokomoko!!anakuona kama una kiwivuuu ..mwanamke aliyependa sana anadanganyika kirahisi sna hata kwa makosa ya wazi!!mwanamke aliyependa sna hata akosewe mara 1000 akiambiwa tu nisamehe chapu ashatoa msamaha bila kujua udhaifu wake ndio unao muadhibu!!!mwanamke aliyependa sana ni kin'gang'anizi hata aone dalili zote kuwa hatakiwi atakuganda kama lubaaaa!!mwanamke aliyependa sana yako tayari kutoa roho ya mwanamke mwenzie kisa kamchukulia boyfriend kumbuka sio mume!!mwanamke aliyependa sana hajithamini !!yuko tayari kuuza utu na thamani yake kisa penzi!!mwanamke akiahidiwa ndoa basiii anahisi ndio kapendwa hata kama huyo mwanaume atamuonesha dalili zote kuwa hana mpango na yeye !!atakomaa tu bila kujari anapoteza muda!!wanawake wengi sana waliopenda sana kuachwa kwao ni mpaka wa blokiwe na kubadlishiwa namba la sivyo mwanaume jipange!!!lakini wengi sana wasiosikiliza ushauri maumivu ya kutendwa huishia kuwatengeneza na kuwa watu wengine kabisaa...maumivu yanaweza kumbadili mwanamke au mtu yoyote kuwa jasiri..na kadri unavyomjeruhi mwanamke/unavyomjibu vibaya/usivyomsikiliza ndivyo unavyoibadili tabia yake bila kujari atakulilia mara ngapi #kibonde
Counsellor
Post a Comment