Kubeba mimba inaweza kuwa ni sababu ya kubadilisha uelekeo wa ndoa yako. Inawezekana tayari ulishachoka aina ya mahusiano kati yako na mume wako. Wanaume wanaogopa sana mimba, kwamba hata kama alikua mkatili kiasi gani lakini anaogopa kumuumiza mwanamke mjamzito.
Kwa baadhi ya wanawake mimba zao zinageuka kuwa kama mkosi flani wa kuwafukuza wanaume, kuwafanya kuwa wakatili zaidi na hata kuwasukuma kuchepuka.
Lakini kama ukijua nini chakufanya wakati ukiwa mjamzito basi utakua ni mwanzo mpya wa kubadilisha uelekeo wa ndoa yako. Katika kitabu chako cha ndoa yangu furaha yangu nmezungumzia mambo matatu.
Jambo la kwanza ni namna ya kuimarisha mahusiano yako na mumeo wako wakati wa ujauzito, jambo la pili ni namna ya kumfanya mwanaume akugande baada ya kujifungua na jambo la tau ni malezi ya watoto.
Ukifanya mambo haya vizuri basi jua kua wewe kelelekelele utazisikia kwa majirani kwani mwanaume anaweza kubadilika mara moja. Lakini ukikosea kidogo basi jua inaweza ndiyo tiketi ya kumfukuza mume wako na kutengeneza ndoa ya mateso.
Post a Comment