UPENDO huleta USHUJAA💪
UPENDO hujenga AMANI ✌
UPENDO hujenga NGUVU 💪
UPENDO huboresha FURAHA💃
UPENDO huondoa HOFU🙆
UPENDO husogeza USHIRIKA👏
UPENDO ni sababu ya MAFANIKIO✊
UPENDO huleta MARIDHIANO💝
UPENDO ni njia ya HURUMA🙏
UPENDO huboresha AFYA🙌
UPENDO ni PENDO💑
UPENDO ni NURU👌
UPENDO hutowesha GIZA👤
Nani asiyejua maana ya UPENDO?
Waliokosa UPENDO hawakupendwa wala hawakuhisi huruma kwa walio watarajia KUWAPENDA.
Jivue udhaifu ukaijenge NGUVU ili ufikie MALENGO ambayo umejipangia, Ukiwatazama watu nyakati za TAABU YAKO wala hutawaona, Aliyekuaminisha atakuwa nawe mpaka kifo aonapo UMEELEMEWA hukimbia, Kuna ambao walikuwa nawe kipindi kile ukipanga mipango yako lakini walipoona hufanikiwi walijitenga na kujifanya wapo busy, Pamoja na yote ambayo umeyapitia ama utayapitia USIMSAHAU YULE AMBAYE ALIGUSWA NA TESO LAKO kwa namna ya udogo au ukubwa lakini kubwa ni kwamba alishiriki nawe HUYO MWAMBIE ASANTE KWA KUSHIRIKI NAMI KATIKA DHIKI ZANGU
Maana MUNGU huitazama NAFSI na KUMPENDA mwenye KUSHUKURU🙏
MUNGU wetu huyatangua MABAYA wakuwaziayo wabaya wako, Neno moja nimelitaka kwako MTUMAINIE MUNGU KWA NGUVU ZAKO ZOTE💪
MUNGU NI PENDO APENDA WATU WOTE👏
Post a Comment