Kwa hakika NDOANO⚓ humnasa samaki🐟 ambaye yupo mawindoni kutafuta chakula,
Lakini samaki🐟 aliye fumba mdomo hanaswi kwa NDOANO⚓
Maana yake ni kwamba UPENDO wako ni MTEGO kwa mwenye kuhitaji UPENDO
Lakini ikiwa Mtu aliishapendwa basi usisumbuke KUMPA UPENDO WAKO⛔
Maana UPENDO ni TENDO LA NAFSI kwamba HATA KAMA UPENDO ALOPEWA NI MDOGO KIASI GANI yapo MAZOEA ambayo hayo ndiyo yatamfanya kuendelea kuwepo mahala hapo,
Wewe umempenda ni UTASHI wako, Tatizo ni kwamba HUWEZI KULAZIMISHA UPENDWE ila unaweza kupendwa kwa hiyari yake, Kwa maana halisi ya mfano wa SAMAKI🐟 ni wazi kwamba MTU AKIISHA KUWA AMEPENDA KAMWE HUWEZI KUMTOA HAPO ni mpaka aamue yeye na itategemeana na Kwanini anataka kutoka?
Usimpe UPENDO Mtu ambaye tayari aliishapendwa UTAKUFA KWA WIVU😎
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria🙇🏻♂

Post a Comment