Kuijuwa thamani yako ni pindi "UNAPODHARAULIWA NA ULIYEMPA MOYO WAKO"
na ukamfanya mtu sahihi kwenye maisha yako na ili ukuweke kwenye majuto ni PALE UNAPOKUTANA NA WALIOACHWA KAMA WEWE😭
Mtu anaweza kukuona hufai baada ya kukukinai lakini ni kwa sababu hakuja kwako kwa UPENDO bali aliongozwa na matamanio yake kwako, Maana yake wewe ni MZURI ila tatizo hakuwa na MALENGO NAWE na inawezekana uzuri wako unasababisha TAMAA KWA WENGINE ama laa ni kutokana na mapokeo yako hata mtu akakuchukulia u dhaifu, Kwakuwa hajaondoka na uzuri wako AMEKUACHIA IWEJE UNALIA SASA🤷🏽♂ Hebu mwache aende ili na wewe ubaki kama ulivyo maana huwezi kulazimisha KUPENDWA⛔ laa kama unajitafutia matatizo ya MOYO.
Je unafikiri yeye ndo amekuwa wa kwanza kukuacha ama wapo au yupo mwingine alikuacha🤷🏽♂
Kama yupo au wapo JICHUNGUZE KWANINI UACHWE NA UKO MZURI🤷🏽♂
Mimi sitaki kukuficha, ikiwa ndo umeachwa mara ya kwanza "HESABU NI BAHATI MBAYA" ila kama ni zaidi ya mara moja naomba nikupe makavu
"MAAMUZI YAKO KUTOA NAFASI BILA KUIJUWA SABABU YA MTU KUKUTAKA INAKUGHARIMU KAMA HAUKO MRAHISI BASI UNATAWALIWA NA UPWEKE HATA UNAJIKUTA UNAZOA ZOA TU KWANI UNAAMBULIA MATAPELI WA MAPENZI"
Jipe ujasiri kujikana ili ujue kipi kinakuponza kwenye mahusiano yako, Je ni kwa sababu unatafuta Mtu Kwa ajili ya REPLACEMENT🤷🏽♂
Au unatafuta Mtu ili kutimiza haja zako za mwili🤷🏽♂
Na kama ndivyo ufanyavyo UNAJIROGA MWENYEWE🤣🤣
Wala usisumbuke kutafuta mchawi katika mahusiano yako, Maana hali hiyo inayokupelekea kuingia kwenye MAPENZI hiyo ndiyo inayoweza kukutupa kwenye MATESO😭
Mapenzi yanapatikana kwa SIGNS Yaani ikiwa unamchukulia Mtu by the way NIAMINI atakuchukulia kama KIBURUDISHO🙋🏻♂
Halafu nikukumbushe MAPENZI yanajengwa na mazoea, Wakati unaingia mahala kwa sababu zako mwisho wa siku UTAJIKUTA UMEMZOEA MTU na mazoea hujenga UPENDO💃
Ikumbukwe kwamba uliingia kwake kwa sababu lakini ushampenda JE UNAJUAJE KAMA HAKUJUA KWAMBA ULIKUWEPO KWA SABABU ZAKO🤷🏽♂
Huwezi kuyadanganya MAPENZI ila MAPENZI yana tabia ya kudanganya ndo maana wengi tunajikuta TUNAZAMA BILA KUJUA😋
Pingana na mihemko yako unapokuwa unahitaji MTU kwa ajili ya FURAHA NA AMANI yako Kwani ukikubaliana na mihemko yako wallah hata MBUZI UTAMUONA ANAKUFAA⛔
Ruhusu NAFSI NA MOYO WAKO vipokee hoja ya akili ili uweze kupambanua kipi kipo na nafasi kwenye nafsi yako Kwani utajiweka kwenye USALAMA WA MOYO🙋🏻♂
#Elista_Kasema_Ila_Sio_She ria 🙇🏻♂

#Elista_Kasema_Ila_Sio_She
Post a Comment