Wanatusaliti tunawasamehe.
Wanapuuza meseji💔 zetu, tunatuma nyingine.
Tunawapigia simu,📞🎀. Hawapokei☎ Tunapiga tena😑
Tunacoment kwenye post na picha zao,hawajibu.
Tunawapost,hawatoi coment wala kuguswa.
Wanakasirika bila sababu, 💁🍁, tunaomba msamaha.
Wanatoa ahadi hewa. Tunasamehe 🙉😞.
Wanatuacha, halafu wanarudi kuomba nafasi ya pili, tunawapa.
Wanatuona bado tunakaa kimya tu.
Hata tukiwasaidia kazi za nyumbani au ofisini hawajali bado wanatuita mabwege.
.
Lakini kuna siku. Tutaamua kuwa mbali nao. Tutaacha kuwapost tutaacha kucoment tena picha zao wala kulike, hawatakuja tena kuona simu zetu, sms zetu,. Hatutakuja kuwasumbua tena. Kwa maana moyo mzuri unapochoka kuvumilia 💔✋kamwe hauwezi kuundwa tena na hauwezi kurudishwa tena.👎😢😭🔒.
.
#UJUMBE_WANGU:Heshimu kile ulichonacho kwa wakati huu kwa maana kikiondoa hautokuja kukipata tena.,🚶😷🌄
Respect what you have now because once it is gone,🚶, you'll never see it again.✋😢

Post a Comment