HAKUANA NDOA ILIYO NA FURAHA SIKU ZOTE, MIGOGORO NILAZIMA ILA FANYA HIVI NDOA YAKO ITAKUWA NA AMANI SIKU ZOTE.

*💕Hakuna ndoa iliyokosa changa moto kila moja ina migogoro yake mingi tu ukiona wamedumu nikuvumiliana kwani hakuna kiumbe aliyekamilika*
*💕Kwani wana ndoa nikama vikombe na sahani muda mwingine mpaka vigongani tu hilo sio geni ndani ya ndoa*
*💕Lakini wana ndoa maheri ni wale wanatatua migogoro yao wenyewe na ikishindikana basi unapeleka kwa wazee wapande zote mbili.kwa jili yakutafuta suluhu la tatizo*
*💕Wala sululisho la ndoa halipatikana kwa mitandao kama wengine wanavyofanya wamekosana jana usiku yupu mbio kwa mitandao haswa wanake tumezidi*
*💕Utasikia anamsuta mwenza wake kwa mitandao eti time will tell mara ulidhani nitadhirika kumbe nitastrika ukinitupa kwa dharau wenzako wataniokota mara ukimwaga mboga mimi namwaga unga yaani maneno yakejeli tele hajali hata yale maneno yataleta athari gani*
*💕Wajua hakuna ndoa iliyokamilika.nakama ndoa yako utakuwa unakuja kuiosha mitandaoni bila shaka utakuwa hueliwe haswa malengo ya ndoa yako*
*💕Jifunzi kumaliza migogoro yenu kwa kuketi chini na kuzishusha sauti zenu mukiwekana wazi lipe baya lipe zuri ila kuwekana kwa mitandao sikatika madili mema na nikuvunja heshima ya ndoa yako*
*💕Kwani ndoa ni stara kubwa sana inahitaji kutunziwa heshima na ukihisi heshima hiyo imekutoka ni bora utoke kuliko kuwa ndani huku unaendelea kumvunjia mwenza wako heshima*
*💕BADILIKENI BAADHI YENU*
*💕BY ADMIN*


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post