HAIJALISHI MMEKUTANA WAPI KIKUBWA NI UPENDO KATI YENU

No photo description available.

Makutano yoyote baina ya mwanamke na mwanaume ni salama ikiwa nia yao ni ile iletayo maana ya PENDO! Haijarishi mmekutana FB, KANISANI, SHULENI, MSIKITINI AMA SOKONI neno ni moja tu MAPENZI... Mapenzi ya sasa yamekuwa rahisi sana na ndo maana hata kuachana kumekuwa kwingi, Nijuavyo Mapenzi ni;
1. UWAZI
2. UHURU
Ukiingia katika mapenzi na ukagunduwa Mapenzi si HURU na wala hujauona UWAZI basi jiongeze ki akili Kwani HAUPO PEKE YAKO... Yaani mnaanza mahusiano kupitia FB mnaombana urafiki, mnakuwa marafiki na baadaye kupeana suport za like pamoja na comments mpaka mnafika mnapeana namba na kuhamia watsapp kwa MAHABA na mbwembwe nyingi, Honey ni wewe, Sweetheart ni wewe, Babie ni wewe na majina mengi lukuki, Mnakubaliana kuonana na MAKADHARIKA then mkiingia FB mnaitana kaka, Dada, Rafiki ama jina lako halisi BADO UPO TU? Jiongeze weweeeee.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post