FAHAMU VYAKULA VINAVYOLETA HAMU YA TENDO LA NDOA.


Image may contain: one or more people and people standing
Hakuna binadamu asiyefahamu nini maan
ya mapenzi na kama wapo basi ni wachach
sana na wanaweza kuwa hawafahamu kw
maneno lakini kivitendo wanakuw
wanafahamu aidha kwa kuona, kusikia n
hata kwa wao wenyewe kushiriki kweny
mapenzi hayo.
PILIPILI
Kama tunavyojua wote mara nyingi chakul
ambacho kimeungwa pilipili hufanya hat
mapigo ya moyo kuwa tofauti na waka
mwingine hata jasho kutoka au kama
kutoka. Kwenye pilipili kuna kitu kinaitw
capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe n
hali ya ukali ambao huwezesha ubong
kutoa homoni ya endorphins ambayo katik
hali ya juu huleta mgusu wa hisia za rah
Pia pilipili husisimua mfumo wa ufaham
(nerves) wa ubongo na katika kufany
hivyo huwezesha kumshwa harak
kimapenzi (kunyeg*eka) na pia ili ukigusw
au kubusiwa au kunyonywa au kupapasw
uweze kupata hisia kila sehemu
NAFAKA
Nafaka zina nyuzinyuzi (fibre) na suka
ngumu (complex sugar) ambazo kusaidi
kutunza uzito wa mwili. Nafaka husaidi
katika kuzalisha homoni za testosteron
kwenye damu. Na pia nafaka huwezesh
mtu kuwa na nguvu hatimaye kwend
masafa marefu wakati wa tendo. Kul
nafaka nzima kama vile brown brea
badala ya white bread, pia kula nafak
halisi badala ya cornflakes ni jambo zu
linalokuhakikisha afya njema na mahusian
mazuri ya ndoa yako
MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI.
Mlo wenye matunda na mboga za maja
una matokeo makubwa sana katika ham
ya tendo la ndoa kwa njia nyingi. Kwanz
matunda na mboga za majani hupunguz
kiwango cha mafuta na unene (cholesterol
kuongezeka kwa mafuta mwilini huzui
mzunguko wa damu kwa kubana miship
ya damu. Pia kula matunda na mboga z
majani huhakikisha balance ya uzito kwa
unene (obesity) kwa wanaume kun
matokeo mabaya katika kuzalisha home
za testoeterone na hatimaye jogo
kushindwa kuwika na kuwa na libid
kidogo. Na pia wanandoa wanapozi
kunenepeana ndipo na hali ya kufurahia a
kutaka au hamu ya tendo la ndoa huzi
kupungua.
TANGAWIZI
Tangawizi ni chakula ambacho husisimu
sana mfumo wa mzunguko wa dam
mwilini, na tangawizi zinajulikana san
kwa kusukuma damu kwenda sehemu z
viungo vya uzazi yaani uke na uum
Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa a
kuanikwa na kuwa kama unga.
ASALI
Asali ina madini yanayoitwa boron, ambay
husaidia mwili kutumia homoni ya estroge
ambayo ni homoni inayohusika na viung
ya uzazi na mapenzi kwa mwanamke. Pi
kuna utafiti unaoonesha kwamba asa
huongeza nguvu, kitendo ambach
kitapelekea mwanamke kuwa uwezo n
hamu ya tendo la ndoa au libido.
KARANGA
Karanga huhusika moja kwa moja n
kutunza mfumo wa mzunguko wa dam
kuwa na afya (vascular system). Pia mfum
wenye afya (mzunguko wa damu) katik
uke na uume huwezesha mwanaume n
mwanamke kupata msisimko wa mapen
haraka hatimaye tendo la ndoa kuwa zur
Pia karanga zina madini muhimu kama vil
magnesium, asidi ya folic na zinc ambayo
muhimu sana katika usalishaji wa mbeg
za mwanaume.
OYSTERS
Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini y
zinc na haya madini ndiyo huhusika zai
na uzalishaji wa homoni ya testosteron
kwa wanaume. Pia imethibitika kwamb
wanaume wenye ukosefu wa madini ya zin
huwa na matatizo ya nguvu za kiume n
wakati huohuo kuwa na madini mengi y
zinc mwilini huongeza kiwango ch
shahawa.
SOYA
Pamoja na kuwa na kiwango kidogo san
cha fat na pia kuwa na kiwango kizuri ch
protein, soya zina phytoestrogens ambay
husaidia sana wanawake ambao wamefiki
menopause kutengeneza homoni estrogen y
ziada. Husaidia uke kuwa laini (we
lubricated) mwanamke akisisimliwa waka
wa tendo la ndoa.
CHOCOLATE
Chocolate ina phenylethylamine, kemika
ambayo husababisha hisia (feelings) z
furaha wakati wa mwanamke a
mwanaume kufika kileleni (orgasm)
This is a short description in the
author block about the author. Yo
edit it by entering text in the
"Biographical Info" field in the user
admin panel.
Wakubwa tu: Fahamu vyakula
vinavyoongeza hamu ya kufanya
tendo la ndoa itakusaidia sana
kulinda ndoa yako
Fanya haya mtaishi mda mref
kwenye Mahusiano na kufurahi
penzi


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post