Kwa mda ambao nimekuwa nikiandika makala na kuongea na watu ,weng wao wakisha schwa hutumia kauli ya BADO NAMPENDA... Ukiwauliza kiundan utagundua sio kweli ila ni kuogopa kuongeza idadi ya wanaume au wanawake tu,hivyo huona bora kulilia palipo haribika
Mara nyingi kuna sababu nyingi za kupunguza au kuacha kumpenda mtu kuliko za kuendelea kumpenda. Kwa mfano:
Mtu ambae anakudharau
Anakupiga na kukutukana
Anakusaliti na kukudharirisha
Anawasiliana na wewe akijisikia
Anakupiga na kukutukana
Anakusaliti na kukudharirisha
Anawasiliana na wewe akijisikia
Huyu rahis sana kumpotezea, sasa unakuta mtu kila aina ya ubaya kafanyiwa lakin anasema BADO NAMPENDA... Huku ni kujidanganya na woga wako tu.. Huwez mpenda mtu ambae anapoteza mda wako na kudhurumu furaha yako.
Usilazimishe akupende
Mapenzi ni ridhio la moyo, usimfosi akupende sababu unampenda, mwache aamue mwenyewe. Akisema humfai, ukilazimisha kukaa sehem ambayo huhitajiki utaishia kupoteza mda,kuumizwa,kudharirika na kukondeana huku yeye ana nenepa
Usiogope kutupwa na kukanyagwa leo,maana ukitupwa leo kwa kigezo cha huna lolote, usihuzunike sana kwa sababu
Kesho atatokea wa kukuokota na kukuona mpya,kuna leo, kuna kesho.
Kesho atatokea wa kukuokota na kukuona mpya,kuna leo, kuna kesho.
, kila leo huwa na jana, juzi ikawa zamani.kubali kuyabeba na kuyabadili maumivu yako kuwa starehe, ipige konde nafsi, kuwa mvumilivu
Ukitemwa, temeka. Ukiachwa, achika.
Ukitemwa, temeka. Ukiachwa, achika.
DADA huenda leo hii bado unataman uendelee kuwa na MTU aliye kuzalisha na kuku acha,kwa kigezo kuwa hukutaka uzae na wanaume tofaut,lakin uliye zaa nae tayar ana familia yake au hakutak.. Hivyo kubal achana nae tu kwa faida yako.
Kumbuka
We bado kijana mdogo sana,una miaka mingi ya kushuhudia warembo wengi. Bado una nguvu Fanya kaz upate pesa. Utampata mwanamke bora zaid ya hao wanao kuona huna hadhi
We bado ni dada mrembo na mbichi kabisa. KUZALISHWA hakuwez kukupunguzia ubora wako. Jitunze,kuwa msafi na jiheshimu. Utampata aina ya mwanaume uliye taman kuwa nae ktk maisha yako
IGA kwa walio fanikiwa kusimama tena baada ya kuanguka na leo wanafurahia ndoa na familia zao.
Kuna walio zalishwa watoto 2 au zaid lakin walilea peke yao mpaka watoto zao wamesoma na kupata kaz nzuri. Mama zao leo hawana shida tena,baba zao wanataman wajitokeze kuomba msamaha.
Sasa wewe umezalishwa katoto 1 au huna mtoto kabisa afu bado una mlilia mwanaume ambae ameshasema hakutaki.Afu una kaz yako au biashara au unaishi kwa wazaz bila shida.
Ifike mda acha kujipendekeza kwa mtu maana atakudharau na kukuendesha atakavyo
Karibu
MBEYA
0768697289
MBEYA
0768697289
Kumbuka Ku LIKE page yangu
eddylukali123/
eddylukali123/
Post a Comment