kwamba bada ya MAHANGAIKO NA MATESO NI KUPOKEA PUMZIKO kwa hayo ambayo yamekupa kuumia Moyo, Kila jambo na majira yake kwamba kuna wakati wa MATESO ulikuwepo ili kukupa nguvu ya kuendelea, Kuna wakati wa FURAHA huo huja ili kukupa maana ya mahangaiko yako, Ni ngumu kuzoea maumivu but kila unapokuwa UNAPITIA VIKWAZO hapo ndipo akili inapata namna ya kujikomboa, Lakini pia ni kukujenga ki fikra, Yaumizayo MOYO ni yale ambayo yanatokana na uhitaji wa MOYO ndo maana huwezi kuumia ikiwa MOYO haujawa na uhitaji wake🙆
MAPENZI yamekuwa mwiba wa MOYO badala ya uhalisia wake kwamba MAPENZI HAYO NDIYO YAUTULIZAO MOYO ikiwa tu utakutanana hitaji sahihi👌
Tabia ya MOYO ni kung'ang'ania pale ambapo umeridhia, KUUMIZWA NI JAMBO MOJA NA KUACHA NI JAMBO JINGINE lakini yote yanaendana kwa kufuata MOYO UNASEMA NINI😎 Mtu anaweza kuja ukajua UMEPATA lakini ikabaki kuwa MLIKUTANA wala kusiwepo MAANA YA UPENDO 🚫
Ni bora kuvumilia mateso ya KUACHANA kuliko MAUMIVU huku mkiwa pamoja, Maumivu ya KUACHANA raha yake ukisahau UMEPONA lakini Maumivu huku mko kwenye UHUSIANO hayo ni MWIBA uchomao kwenye kidonda kibichi😭😭😭
BORA YAISHE ili kuitafajia AMANI yako binafsi ili hata akija mwingine iwe rahisi kujua utaenda nae vipi, Ila ukilazimisha AWEPO NA HAKUPENDI wewe ni Mjinga tu maana mwenzio anae ampendaye, Kwamba KUPENDA UPOFU? Ukitaka kujua UPOFU ni mateso muulize KIPOFU halisi, Usilinganishe MAUMIVU YA MAPENZI NA MAJAALIWA YA MUNGU utajapata laana bure🙋
Post a Comment