Usiumie sana maisha kupambana mpendwa
Nilikuwa na mwanamke mmoja mwenye mahusiano nilimpenda sana awali alionesha kunipenda kumbe ndan ya moyo wake sipo kabisa
Siku moja nilimpigia cm nikamwambia mwenzio Niko vibaya naumwa hapo akasema pole baada ya siku hiyo kulipita siku 5 sikumpigia cm wala SMS nae akawa kimya
Nilijiuliza sana why nikapata jibu kuwa pata shida ndio utajua kuwa unapendwa au hapana hapo nikavunja mahusiano jumla
Baada ya hapo nilimkuta mwanamke mwingine ambaye nilipanga kuwa awe mke wangu huyu mwanamke alikuwa mwanamke mwenye heshima sana shida yake alikuwa mlevi sana nilimwomba aweze kuacha pombe alikubali kuacha lakin nikiwa sipo yeye mwendo wa kulewa sana alijua siwez pata taarifa zake
Basi siku moja nimepita maeneo ya kwao baada ya mishe zangu nikampigia cm kuwa uko wapi akasema Niko home nikamwambia naweza kukuona nikija huko kwenu akasema leo hapana mazingira hayaruhusu kuna wagen kwao Nikasema sawa
Basi ili kujua ukweli wote nilijitosa kwenda kwa mama yake nikamuuliza mama nimemkuta Dada fau alinijibu kuwa hapana mwanangu hayupo yupo kulewa
Mama aliniuliza kwan unashida gan nae nikamwambia hapana kuna mambo ya kazi nilitaka kuongea nae akasema mwanangu nenda sehem fulan utamkuta
Nilikwenda hiyo sehem nilimkuta yuko na mwanaume mwingine wanakula bata niliumia sana moyo wangu na kukosa iman kabisa na wanawake
Nimekaa sana na kutafakari mengi najua maisha sawa na milima hivyo wapendwa
Niwe mkweli kwenu natafta mwanamke wa kutimiza nae malengo ya maisha asiwe mlevi wala mtumiaji wa kilevi cha aina yeyote ile
Awe mkweli awe mwanamke anaeweza kufanya biashara yeyote maana hakuna ajuaye kesho yake
Naomba kama nitakuwa nimekuboa samahan nisamehe kwa yote ni moja ya maisha naomba mwanamke mwenye yuko serious niko serious wapendwa
0686_126367 haijalish ana mtoto au hana ila plz usiwe mwanamke umiza kichwa
Post a Comment