Zijue Dalili Kuwa Mkeo au Mpenzi Wako Ameshakulisha Limbwata la Kutukuka - EDUSPORTSTZ

Latest

Zijue Dalili Kuwa Mkeo au Mpenzi Wako Ameshakulisha Limbwata la Kutukuka



1. Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa Kwako na Mkeo unakuwa Mpole sana

2. Hupendi Ndugu zako kuja Kwako ila wa Mkeo unawalazimisha waje

3. Ukiwa unaongea na Ndugu zako huwa unakuwa na Hasira ila wa Mkeo meno yote 32 nje

4. Unasikia uvivu kwenda kusalimia Kwenu ila kwa Mkeo unatamani uende kila siku

5. Ukiombwa Hela na Ndugu zako unawaambia subiri hadi uzungumze na Mkeo Kwanza

6. Ukipokea tu Mshahara lazima utamwambia hata kama hajakuuliza

7. Ukiwa nae Kitandani unaogopa kumwomba Mbunye hadi akuambie Yeye

Je kwa dalili hizo hapo juu kuna mwana JF yoyote ambaye ni Mume wa Mtu zimemhusu kwa 100%?

BY GENTAMYCINE/Jamii Forums




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz