Wanaume wenzangu hebu tuwage na huruma kidogo kwa hawa wanawake ambao ndio dada zetu na ndio mama zetu,,

,
Baadhi ya wanaume wenzetu kiukweli mnaboa Sana,,,
Inamaana gani unamzalisha msichana WA watu Watoto wawili au watatu halafu unamuacha????
Unadhani hapo nani atakae muoa tena???
Kama mimba ya kwanza ni bahati mbaya,, kwann umzalishe tena???
Kama ni mbaya kwann umzalishe mtoto zaidi ya mmoja??,,,
Kama huna mpango wa kuishi na mtoto wa watu basi mzalishe angalau mtoto mmoja ili ukimuacha angalau mwenzio asipate tabu ya kuolewa,,,
Kama anatabia mbaya,, au Malaya usingemzalisha Watoto wengi,,,
kingine zaliza mwanamke mzuri ambae hata usipomuoa,, wengine watamuoa,,,sio Mdada wa watu wa kawaida halafu unamzalisha na kumuacha,,,, unadhani nani atakae Muoa???
demu kama sio mzuri muache usimzalishe,, utampa wakati mgumu sana kwenye maisha yake,,,
Akikosa wa kumuoa basi ujue we ndio sababu,,,
KAMA HUNA MPANGO WA KUMUOA MDADA WAWATU BASI USIMZALISHE WATOTO WENGI,,,, unamzibia mwenzio Riziki
KWA USHAURI KUHUSU MAISHA INBOX
Image may contain: 2 people


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post