USILIE TENA KUHUSU MAPENZI - EDUSPORTSTZ

Latest

USILIE TENA KUHUSU MAPENZI


"Nimemukosea nini Mungu wangu mpaka niwe mtu wa kulia kila mara ktk mahusiano??,kwa nini wenzangu wanaoa na wengine kuolewa lakin mimi bado naumizwa ? Kwa nini kila ninae muamin huwa ananipa faraja siku za mwanzo kisha hunikimbia?
Kuna wakata nawaza bora ningekuwa SISTER /PADRE ili niondokane na suala la .mapenz maana kwangu yamekuwa adhabu.. Eee Mungu lin nami ntaitwa MKE/MUME... Nashukuru sasa naitwa BABA/MAMA lakin nahitaj mwenza wa kudum nae"
Huenda KAKA au DADA huwa unawaza haya na kuna mda unayachukia mahusiano.
Dada mrembo na umbo zuri una kaz na biashara zako unavaa na kula vizur lakin ktk mahusiano huna furaha.. Subir wakat wako utapata tu mtu sahhi
Kaka una pesa na kaz nzur.. Mwanamke unae mpata unamhudumia kila kitu ila mwisho ana kusalit.. Usiwachkie wanawake wote maana wapo wanao jitambua
KAKA na DADA
Amin kuwa ktk maisha yako siku utapata Mwanamke au mwaume ambaye atakufanya uamin kuwa kumbe watu tunafanana jinsia na sio tabia.. Huyo mtu atabeba madhaifu yako na kukupenda pasipo sharti lolote..
Kuna mtu leo una wasiliana nae fb..wahatsap...instagram..au kwa njia ya kawaida... Au ni mfanya kaz mwenzako au partner ktk biashara.. Uwe makin na huyu mtu jitahid kuwa mwema kwake na uoneshe kuwa upo tofaut na wengine hata ktk maongez ya kawaida.. Huenda siku ukavutiwa au akavutiwa nawe mukaishi pamoja...
Rafik yako wa leo huenda ndo mumeo au mkeo wa kesho.. Badilisha mfumo mbaya wa maisha yako.. Rafik yako wa jinsia tofaut anapo kushaur jambo zur lifanyie kaz maana hata kama hajawah kuambia huenda ana malengo na wewe.
Wanaume wenye nia ya kuoa bado tupo
Wanawake wanao taman kuolewa bado wapo
Usiseme atamtesa mwanangu
Kuzaa kabla ndoa sio dhambi ya kukunyima mume au mkee.
Mwambie ukweli kama una mtoto ili ajue mapema.
Usiseme hakuna WANAUME waoaju wakat kila siku makisani na misikitin ndoa zinafungwa. Usiseme hakuna WANAWAKE Waolewaji wakat miongoni mwao ushawapoteza na sasa wameolewa kwingine.
Kila mtu ana mtu aliye andaliwa kwa ajiili yake.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz