UPENDO ❤️ WA MWANAMKE HAUPO KWENYE KUVUA NGUO 👙 FARAGHA. - EDUSPORTSTZ

Latest

UPENDO ❤️ WA MWANAMKE HAUPO KWENYE KUVUA NGUO 👙 FARAGHA.


Image may contain: 4 people, people standing

Kwanza naomba ifahamike kwamba UVUAJI WA NGUO 👙 KWA MWANAMKE AWAPO FARAGHA ni tendo linalotokanaa na STAREHE wala sio ISHARA YA UPENDO 💞 kwa sababu Wanaume wengi hudhania Mwanamke anapokubari kwenda chumbani 🛏️ na kusaula nguo zote na kubakia mtupu eti ni UPENDO 💘
Sema hiyo ni ishara ya KUAMINIKA MOYONI MWAKE ama kwa sababu ya vile unaonyesha UPENDO 💘 KWAKE au ni kwa sababu ya njia iendayo kwenye KUKUPA MOYO WAKE...
Kwa sababu hakuna TESO Mwanamke hupitia pindi anapokuwa AMEAMINI katika UPENDO 💘 na kumbe Mwanaume alikuja kwa MATAMANIO 😭😭
Muda Mwingine Mwanamke nae huwazia STAREHE hivyo anapokuwa amekubari kuvua nguo 👙 asisomeke kwenye UPENDO 💘 nae MATE hujikusanya akiwazia vile NYAMA NA NYAMA hutengeza joto 😂😂😂
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz