UNAJUA NINI KUHUSU VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA?


Wengi wetu tunatumia njia mbalimbali kuzuia mimba kutoka tunasex tunaofia atujaoa au kuolewa kwaiyo kuzaa bado tunafanya sex hamu kujipoza sawa tunatumia P2,sijui mauzazi ya mpango,flagly...
Unafika wakati unataka kuzaa umeolewa kushika mimba kazi maana hayo madawa yote hapo juu na mengineyo sio mazuri kabisa kwenye mfumo wa uzazi unaanza angaika na kusema shangazi mchawi mara mapepo sijui nini aise unazunguka makanisa kibao wakuwekee mikono maombezi kumbe kunakitu ulisahau enzi zile ulikuwa unasema na play safe..wataweka sana mikono ..
Mwalimu Bemasha nawasisitiza dada zangu kujitunza ukiaribu kizazi chako kwa madawa ukaja zaa watoto mazezeta au kushika mimba kwa manati kisa kiboyfriend cha leo hata hakina future yeyote na wewe afu kinakuja kukutelekeza na kuoa mwanamke aliyejitunza anakuacha na sumu wanaume bhana
Hivi bado ujawajua wanaume asikudanganye na malengo na wewe ya mdomo ukavua nguo zako mwambie nenda nyumbani
Mungu azidi kukufanya bora wewe unayesoma ujumbe huu maana shetani atakaa mbali na wewe


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post