Wanawake mahitaji yenu ni Mengi juu ya Mwanaume, Wewe unataka;
▪UPENDO.
▪CARE.
▪ATENTION.
▪MUDA.
▪FAMILIA WATOTO.
▪MAISHA KWA UJUMLA.
Wakati mwanaume hitaji lake kwa Mwanamke ni moja tu nalo ni;
"STAREHE YA MWILI WAKE maana ameumbiwa TAMAA yaani kwake asipokuwa AMETAMANI anajiona kama DUNIA IMEMTUPA"
Sana sana akivuka kwenye HAJA YA MWILI pengine Mwanamke unacho kinacho Mvutia kuwa nawe, Vinginevyo ukiisha MVULIA NGUO NA AKAPATA HAJA YAKE kuendelea ni BAHATI.
Ndo Maana napenda kuwaasa Wanawake mjifunze kusitahamili MAHITAJI YENU ili iwe ngumu kwa Mwanaume KUKUTUMIA KAMA CHOMBO.
Uliishaumizwa mara ya kwanza usiondoke kwa kujipa MOYO kwamba pengine huyo alikutamani tu, Fikiria zaidi ni kwanini ALIKUACHA? Kwa sababu unaondoka kwa Mwanaume na unakwenda kwa Mwanaume hivyo unatakiwa kuwa MAKINI japo kujichunguza na kujua kama wewe ni chanzo Basi uchukuwe hatua katika kukabiliana na changamoto za ki mazingira ya MAHUSIANO/NDOA Kwa mapana yake akili yako ifikirie zaidi KESHO kuliko leo ambayo tayari umeijuwa na kukabiliana nayo vinginevyo HUWEZI KUMPATA MKWELI KWAKO Kwani pengine wewe unamsababisha Mtu kukuona huna malengo nae kwa vyovyote vile atakulipa Sawa na unavyomchukulia.
Mwanamke na Mwanaume kinachowapa vita kwenye UHUSIANO/NDOA yao ni kidogo sana ila ndicho ambacho wengi hawakijui, Na badala yake wanabaki kuhisi HAWAPENDWI;
▪Mwanamke anataka Mwanaume awe MUME ili aweze kukabiliana na majukumu yake, Maana yake abadilike kutoka kwenye ujana na kuwa Mtu mzima, Ajue kwamba TAYARI ANAYO FAMILIA.
▪Mwanaume anapokutana na Mwanamke hupendelea zaidi ule utii wa Mwanamke na mara nyingi wanaume huuchukulia kama udhaifu, Na hapo Mwanaume atataka Mwanamke wake asibadilike, Na akibadilika ndipo MWANAUME HUHISI ANADHATAULIWA.
Hapo ndipo WAWILI hawa kushindwa kuendana na wasipokuwa makini MAHUSIANO ama NDOA waliyopo haiwezi kuwa IMARA zaidi ITAZAMA.
Ili kumlinda MWENZA wako huna budi kutambuwa MAHALA NA NAFASI ULIYOPO vinginevyo huwezi kumuona wa kukufaa Maana bin adam wote sawa, Na kwa Maana hiyo Basi ujue wazi NI NADRA KUMPATA AMBAYE ATAENDANA NA UTAKAVYO otherwise utumie nguvu za ziada kumuweka awe kama utakavyo.
#Elista_Kasema_ila_Sio_She
Post a Comment