1.Ukiona mdada kapigia picha kwenye gari kama anaendesha vile basi ujue ni la mchepuko wake au mume wa mtu maana Siyo rahisi kupigia picha gari la mjomba au shangazi Kama huamini mwambie aweke na kadi ya gari kwenye picha uone kama atakubali
2.Ukiona mdada kapigia picha kwenye chumba kizuriii halafu mashuka ya gharama uje ni vitanda vya guest au lodge Mara nyingi vyumbani kwao lazima uone wigi la buku mbili jero, makeup ya buku na net ya hati punguzo
3.Ukiona mdada kapigia picha kwenye choo kizuriii uje Choo cha ukumbi wa sherehe au hotel
4.Ukiona mdada kapotea sana fb, wsp, insta na Hata Kama yupo online lakini haweki picha mpya tena ujue ana mimba
5.Ukiona mdada ana visirani kila Wakati Huku akiandika jumbe Za kujifariji eti "single but happy " ujue kaachwa au hapelekwi chooni kukojoa haswa akiwa Nyegezi na anaugulia maumivu moyoni ya kuachwa lakini anajikaza kisabuni
6.Ukiona mdada hata outing anatokatoka peke yake anajifanya yako bize muda wote kuna mawili either anajiuza au anatafuta danga lolote litakalo katiza mbele yake kwahiyo mabaharia ukienda sehemu ya starehe ukamkuta mdada amekaa peke yake pita mbali mtego huo
7.Ukiona mdada anatukana sana wanaume uje tayari single mother na hana bahati ya kupata mwanaume wa kudumu na hata akipata ni wa part-time tu
8.Mdada anaamini kumilii iPhone ni utajiri hata kama kahongwa ndo maana hukimbilia kupigia picha mbele ya kioo Ili logo ya iPhone tu ieleweke
9.Mdada anaamini kuvaa viatu vya manyoya huku suruali imechanwachanwa ndo ujanja na mtembeo wake kama ndama mwenye kifaduro
10.Mdada haamini kama hela ya kutafuta yeye ni tamu na Nzuri kuliko ya kuhongwa ambayo humfanya anyanyasike, atukanwe matusi na ageuke kuwa mtumwa wa fikra na kimwili hatimaye viungo vya Siri kuumia
Ongezea mengine
🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️
🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️
Post a Comment